Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika mahusiano yenu wewe unaonekana ni mwenye asili ya moto wa nyasi na yeye ni moto wa mkaa mnaendana vema kila mmoja kati yenu anamuona mwenzie anamfaa zaidi.November 30th Me
18th August Ke
Majina J (me)
F (ke)
wacha nikujibu kifupi kama ulivyoandika.Kiume
30/01
Kike
07/04
Kwa mtizamo mnaonekana nyote wawili ni wenye asili ya upepo wa pumzi hivyo katika vitu vyenu vingi nyie ni kama pacha wa kiroho lakini hiyo haimaanishi kuwa mmekamilika kwa sababu mnaendana kwa asilimia 83% ingawa mna thamani kubwa ya muendano mtizamo wenu unakuwaMimi wa kiume
Herufu E na 19/06.
Mke wangu ni
Herufu L na 23/05
Imee kaaje
Wewe ni moto wa jaha na yeye ni moto wa nyasi;Me:- 12/04
Mwenzangu:- 15/12
Mapacha na KaaMimi ni Me 5/6 E
Yeye ni Ke 26/6 G
Mahusiano haya nilishayajibu ni sawa na huyu
Msaada kidogoWewe ni moto wa jaha na yeye ni moto wa nyasi;
ni watu mnaendana vizuri tu ya kuzingatia ni kwamba yeye na wewe nyote mna moto wenye kufanana kwa maana moto wa nyasi huwezi kuanza wenyewe na pia moto wa jaha huzuka tu na kuwaka wenyewe hivyo couple yenu ni nzuri ila ina vichekesho vingi.
Yeye kwako ni mwenye joto la kukutosheleza,
Nyote wawili ni wenye kujituma, kujishughulisha na wenye kupenda kuwa pamoja vile vile kutoka pamoja.
Pia nyote wawili ni wenye kupenda raha au maisha mazuri,
vile vile kutakuwa kati yenu kuna migogoro;
hii ni kwa sababu nyote ni wakali na wenye kupenda ukweli,
Mabishano yatakuwepo na yakianza nyumba inakuwa kama kunawaka moto;-
Pia linapokuja suala la muingiliano yaani ufanyaji wako wa tendo kwa pupa sio kila mara yeye atavumilia
Pia hata hivyo kati yenu mna hisia za ajabu mkiwa pamoja,
hali ya ucheshi na kufurahia ushirika wa kila mmoja.
ni watu ambao hamuoni tabu kufanya mapenzi popote hisia zikiwakamata.
SEHEMU ZAKE ZA HISIA:
Sehemu zake kuu za hisia ni kwenye miguu na mapacha yake unaweza kurudi kwenye quotes za nyuma ukaona kuna mtu nimeshamuelezea
Rakims
True aisee ila mm sio mchepukaji km yyMapacha na Kaa
Mahusiano haya yanaonyesha kwa yeye mwenye mapenzi ya hamu na shauku huweza kukutimizia wewe mwenye mahitaji ya kimwili zaidi
Furaha yako yako katika tendo huangaza tabia yake yeye ingawa mapenzi yenu huwa matamu mwanzoni lakini huwa hayana maisha marefu tabia yako ya michepuko/ kuchezea mapenzi humtia kovu yeye mwenye hisia kali sana za mapenzi zilizojificha,
Tabia yako na style yako ya kutongoza humfanya awe ni mwenye kujihisi kuwa huwezi kumlindia mapenzi yake nae kuliko kuumia atataka ajiengue taratibu. Wawili nyie hamna maisha marefu ya mahusiano kila mtu atashika njia yake.
Maana yeye ni mwenye kuhitaji mtu mwenye kulinda mapenzi na tegemezi, wakati wewe ni mwenye kupenda kuchangamshana na hupendi kufungwa fungwa na vile vile wewe ni mtu usiye na subira kwake kwa maana utafikia sehemu umuone kama drama queen na vile vile ulimi wako wenye maneno makali ni mchachu sana kwa yeye kuvumilia ambaye yeye ni mwenye Gubu la mara kwa mara.
Nyie mahusiano yenu mnahangaika kupandisha maji mlima.
Rakims
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona uchawi tena jamniNYAMBAFUUUU UMEKUJA KUFANYA MAJARIBIO EEH BAADA YA KUSOMEA UCHAWII SIO....HALAFU KESHO UFUNGUEE....OFISI YA MGANGA WA KITABU