Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Mimi 11 sept (H)
Yeye 02 dec (S)
Hamuendani mkuu japo ni watu mahusiano yenu yamejaa raha utani na maelewano ya hapo hapo kisha mkipeana nafasi imeisha hiyo wewe ni msaliti na yeye ni msaliti mzuri tu no matter how hidden you both will be.
Jambo la kwanza kuu sex kwenu litakuja kuwa tatizo kubwa
wewe ni mtu makini katika mipangilio ya maisha yako na yeye ni mtu tunakuita ponda mali yaani ni aina ya watu wenye matumizi ya fujo kwenye pesa katika kununua vitu ni mtu unataka kujenga na kuweka sawa maisha yako ya baadae haijarishi ni maskini au tajiri lakini yeye utaona ni mtu wa kutokujali hilo ni wa leo ya leo na hata ukimletea habari za kuwekeza for future atakupigia hesabu za hali ya juu na mwenye kukatisha tamaa.
Wote nyie ni wenye akili nzuri lakini katika mitizamo miwili tofauti yeye ni mwenye kujitanua na mwenye maisha ya fujo na wewe ni mwenye kupendelea urahisi wa mambo na mipangilio na kutokujitesa.

Yeye kuna muda anakudhania wewe ni mjinga huelewi vitu au hujajua mambo hivyo hamna maisha marefu ya kulala shuka moja.

Rakims
 
Jitahidini kabla ya kuweka details zako isome kwanza makala uielewe maana tunakoenda nitaanza kutoka majibu sio sana.

23 jun
22 feb

ndio nini?

Unaandika details kifupi unataka maelezo marefu zaidi na mimi nitaanza kujibu kifupi.

Rakims
 
Jitahidini kabla ya kuweka details zako isome kwanza makala uielewe maana tunakoenda nitaanza kutoka majibu sio sana.

23 jun
22 feb

ndio nini?

Unaandika details kifupi unataka maelezo marefu zaidi na mimi nitaanza kujibu kifupi.

Rakims
Title si inataka tar?
 
Duh mbn mm wananiruka tu wanajibiwa wengne wa chini yangu tu ngoja nilale ,huenda si yangu hii
 
Mimi: Mwanaume Yeye:Mwanamke

Herufi G Herufi: S

Tarehe 13/12. Tarehe: 6/08

Mkuu Rakims[emoji1488]
 
Mimi ni Mwanamke
Tarehe 26/12 jina R

Tarehe 11/12 jina S (Me)
 

Nimekuelewa mkuu. Ngoja nilete na ya hawa wawili waliobaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…