Sijakusoma,unasema🤔.Au wewe ndio mwenye kilinge chako unakitangaza humu jf,🤔. Halafu ajabu na kweli unaweza kuwa umeweka tangazo la biashara kinyume na taratibu,au ukilipia gharama za tangazo la biashara,,🤔Binafsi watu kama wewe huwa nawapa pole hapa hapa online kwa maana wanaandika kitu wasichokijua na baadae kinakuja kuwadhuru wao wenyewe;
Hivyo pole sana na mwenyezi Mungu atakuongoza
Wow....Utangamano;
Mahusiano yenu hapa huwa ni sawa na Mfalme na Malkia wanapokutana,
Vichwa hugeuka kwa maana wawili nyie wote ni Simba na mahusiano haya ni sawa na simba dume na simba jike. Wawili nyie hapa ni wenye kuwa na uaminifu mkubwa sana,
Mahusiano haya pande zote mbili huwa ni zenye shauku kubwa sana katika mizani wa kila mmoja kwa mwenzie. Wote wawili nyie ni wenye mapenzi makubwa na mko romantic sana.
Kila mmoja kwa mwenzie, wenye rangi za kupendeza na furaha kubwa katika maisha yenu ya sasa na ya baadae na wenye uwezo mkubwa sana wa kufikishana kileleni.
Swali kubwa la kujiuliza hapa ni; Nani kati yenu atakae kuwa mtawala?
Ni ngumu sana kwa Simba mmoja kumuachia nafasi mwengine kutawala na kujiona muhimu na kujistahi kuliko mwingine.
Lakini hilo ndio kubwa linalohitajika zaidi kwenye mahusiano haya.
Kila mmoja wenu hata taka tu kukaa kwenye kitu ya ufalme huu isipokuwa kila mmoja atataka aonyeshe mabavu yake pia.
Kwa ushindani wa kuridhishana kitandani nani atakae mridhisha mwenzie, Nani atakae muhudumia vizuri mwenzie, nani atakae mpa zawadi mwenzie, nani atakae pendeza zaidi ya mwenzie, nani atakaejali zaidi wazazi wa mwenzie, nani atakae mbembeleza zaidi mwenzie.
Yaani ni ushindani wa mahaba makubwa na heshima kubwa hakuna mfano na umejaa hisia kali na kila mtu atakae waona atataka kuwaiga.
Wawili nyie ni sawa na mkaa unaopika chakula ukaongezewa mkaa mwingine, wawili nyie ni sawa na jua moja likaongezewa lingine yaani nyie ni watu mnaendana kuliko kawaida unless mmoja wenu awe kadanganya details;
Binafsi nayapenda mahusiano baina ya Simba na Simba maana wakiungana wanakuwa ni kivutio cha utalii na pia ni nyota pekee katika unajimu zinazoendana sana kuliko zingine kwa maana wote mnatawaliwa na sayari ya jua na hakuna anaeendana na mwingine isipokuwa jua mwenzie ni jua, simba mwenzie ni simba na vile vile mfalme mwenzie ni malkia.
Basi kama bado hamjafunga ndoa mnasubiri nini?
Nyie ni Grand lovers and interesting rivals (wapenzi wakuu na wapinzani wa kuvutia).
Rakims
Tupo pamojaWow....
Nilikua nahofia zaidi hapo kwenye nyota, kumbe tunaweza endelea
Asante mkuu
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Na ungekuwa umeanzisha hii network hakuna mtu angekaa member hata wiki mbili una roho ya kwanini mkuu. Mtoto wa kiume hutakiwi kuwa hivyo jiangalie kwenye kioo halafu jipige pige kifua sema hakika mimi ni mchawi.Hufanyi bure unajenga mazingira na kutangaza upuuzi wako ili baadaye utafutwe na kuwaibia wajinga na washirikina wenzako. Wote huanza hivi. Kimsingi JF wanapaswa kukuban kwani unatumia jukwaa lao kutangaza upuuzi waka bila malipo.
Karibu tena kwa kuchangia makala zijazo asanteSijakusoma,unasema🤔.Au wewe ndio mwenye kilinge chako unakitangaza humu jf,🤔. Halafu ajabu na kweli unaweza kuwa umeweka tangazo la biashara kinyume na taratibu,au ukilipia gharama za tangazo la biashara,,🤔
Mbona hapo chini umemjibu? Au mm nyota yangu huioni 😆 😆 😆 😆Refusha maelezo
Details zako zikiwa fupi na maelezo yanakuwa mafupi.Me 01/05
Ke 17/09
Ulichelewa kufanya hivyoWacha niwa report maana mnanichafulia mada
Jitizame ulivyo na roho mbaya Astaghfirullah yaani unashadadia Quotes ambazo zipo Negative zingine huoni? kweli wewe ni:
"Sum mum bukmum umyum fahum la yarjiun"
Vile vile "Indeed, it is not the sight that becomes blind but the heart that becomes blind'.
Una roho mbaya na nyeusi sana kwanini usiquote watu waliokubali ni kweli na kuwaambia mnadanganywa unaenda kumquote mfalme wako wa ujinga?
Rakims
Katika mahusiano yenu wewe unaonekana ni mwenye asili ya moto wa nyasi na yeye ni moto wa mkaa mnaendana vema kila mmoja kati yenu anamuona mwenzie anamfaa zaidi.Me 4/12
Ke 29/7
Mahusiano haya ni baina ya mchanga wa pwani na maji ya kisima kuna visima pia vinakuwa na mchanga wa bahari au mweupe chini hivyo couple hii inawezekana.Me 24/12 E
KE 01/03 I
Utangamano;Me 22/08-I
Ke 17/08--C
Kwa mtizamo mnaonekana nyote wawili ni wenye asili ya upepo wa pumzi hivyo katika vitu vyenu vingi nyie ni kama pacha wa kiroho lakini hiyo haimaanishi kuwa mmekamilika kwa sababu mnaendana kwa asilimia 83%Msaada
ME 30/05 P
KE 09/06 M