Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

View attachment 2575746

Hiyo ndio tafsiri sahih ya waja wema waliotangulia sio wewe unayeitumia Quran kuhalalisha ushirikina wako
Well wewe unatumia nini kuhalalisha ngono kinyume na Maumbile??? yani wewe fedhuli kweli. Unashindwa kujilingania nafsi yako kwanza unakuja kunipapalikia mimi halafu shida inayoonyesha upumbavu wako ni kwamba pointi za msingi huoni unaelemea ujinga...
Em nitolee ujinga wako..
Wewe ni Mpumbavu utabaki kuwa Mpumbavu amini hivyo.
 
Yaani ndoto ya nabii wa ALLAH ndio unakuja kuinasibisha na ushirikina na utapeli unaoufanya? Hizo nyota alizoziona Yusuf ndio utakuja kuzifananisha na haya majina ya kizushi ya kaa,simba,samaki,mashuke n.k?
Wewe kweli unazidisha upumbavu...
Hizi Ayah za Quran tukufu zinazungumzia Ramli na hapa tunazungumzia nyota hivi nyie lini mtajua kutofautisha baina ya Giza na mwanga?


Quran Al- An'aam aya ya 97

"Na yeye ndiye aliye kuwekeeni nyota ili muongoke kwazo katika kiza cha bara na Bahari. Hakika tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanaojua.

Quran Al Araaf ayah 54

5. (Kumbuka) Yusuf alipomwambia baba yake: Ewe Babaangu, hakika nimeona (katika ndoto) nyota kumi na
moja
na jua na mwezi, nimeviona vikinisujudia

Quran Al Nahl aya ya 16

Na alama nyingine na kwa nyota wao wanajiongoza

Ifikie tu sehemu ukubali wewe huna unachoelewa

Rakims
 
Hakuna ayat kwenye Quran inayotetea Shirki na kufr unayoifanya ...utasaka ayat zote na hutopata mbaya zaidi unaitumia ndoto ya nabii kuhalalisha ushirikina unaoufanya.
Binafsi sijaona Ayah inayoruhusu wala kutetea Zinaa na kuangalia tupu za wanaume wenzio zinafanya kazi au la, kuangalia video za ngono, kuingilia au kuingiliwa kinyume na Maumbile hivyo kabla ya kunilingania mimi kajilinganie wewe kwanza na Upumbavu wako

Rakims
 
Hiyo ndio tafsiri sahih ya waja wema waliotangulia sio wewe unayeitumia Quran kuhalalisha ushirikina wako
Hadi sasa hii forum ina Members 632,143 posts 45,367,977 threads 1,734,897 na hii yangu ya 1,734,898 hujaona wote hao kwenda kuwalingania unakuja kuangaika na mimi mmoja ambaye nafahamu ujinga wako wote humu trust me humo kwenye hizo threads 1,734,897 utakutana na wajinga baadhi watakutii kwa utumbo wako unaotaka.
kuniaminisha wakati wewe hata chembe ya Imani huna wala akili tu yenyewe huna Dogo ifikie sehemu tuheshimiane na usinijazie thread yangu kwa kuandika utumbo wako ukiuita maarifa...

Baada ya Quran na Hadithi za mtume kinachofuata kwa mtu ni Ubongo wake ku analyze Ima ushukuru au ukufuru hayo ni kwa matakwa ya Mwenyezi Mungu kakadiria iwe hivyo hivyo wewe Punguwani mmoja huwezi kunifundisha wala kunijuza chochote.

Nikitaka kujifunza ni kwa Qadar ya mwenyezi Mungu na nisipotaka kujifunza ni kwa Qadar yake hivyo nitolee Upumbavu na Ujinga wako... Jitahidi urudi shule maana huna unachojua.
Either kama umekopa Bundle tafuta pesa ya kulilipa na ulitumie Kusoma au kama unaishi kwa wazazi angalia utaratibu wa kusoma maisha kwa maana hata fact tu zenyewe huwezi Kuelewa zingatia...

Pale ambapo nimekukosea niwie radhi lakini wewe ni Mpumbavu na Mjinga amini hilo.
Nasikitiza kuona hadi leo kwenye hii Forum wapumbavu ni Asilimia 75% Jamii forums ya 2006 hadi 2016 wewe zamani watu wangekuwa wameshakuamshia. Upumbavu wako enzi hizo bado vijana vijana waliokuwa na hekima sasa hivi wamezeeka wanasoma wanacheka tu na kukuona bado hujakuwa,
sio siri nyie watoto wa 2000 mnakera na maarifa yenu ya kusoma huku unapiga punyeto.

Rakims
 
FYI Nipo jamii forums toka 2008, sijaaingia jana humu ni vile nimebadili tu ID!!

Majigambo yako hayana maana yoyote ile , na tambua kuwa sitaacha kubainisha shirk na kufr unazotaka kuwapotosha nazo waja wa ALLAH.

Popote nikutapo posts zako nitabainisha haki ili watu wajue. Na mimi sikulengi wewe mwenye kibri bali nalenga hawa wengi ambao hawajui huu upotovu unaoufundisha humu mtandaoni.
 
Well binafsi sijaona Ayah wala hadithi iliyokuruhusu wewe kufanya unayofanya ama kuhalalisha zinaa hivyo ni bora unitolee bughudha kwenye uzi wangi wewe Kupe.
Wapi nimehalalisha zinaa ?? Usinipachikie maneno ambayo sijayasema!! Kuhalalisha haramu ni kufr inayomtoa mtu katika uislam kama wewe unavyohalalisha horoscope na upotovu mwingine mwingi kwa akali ya pesa
 
Umeelewa point au umekuja tu
 
Usinichekeshe dogo... mark my words
 
Wewe ni kenge, na hapa huchomoi na hizi pumba zako
Not no more, fuqin idiot , kila ukileta hizi takataka nakutokezea kenge wewe
Stupid useless bugger
 
Wapi nimehalalisha zinaa ?? Usinipachikie maneno ambayo sijayasema!! Kuhalalisha haramu ni kufr inayomtoa mtu katika uislam kama wewe unavyohalalisha horoscope na upotovu mwingine mwingi kwa akali ya pesa
Usinichekeshe dogo... mark my words
 
Una distort maana ya Aya za Quran ili ku-feed your ego!! Hakuna uongo mbaya kama kupotosha ayaat za ALLAH kwa ajili ya maslahi madogo ya kidunia. Tafuta kazi ya kufanya bwana mdogo achana na ushirikina (horoscope). Nyota zimewekwa angani zikiwa na kazi ya kutuongoza uelekeo either tuwapo katika safari baharini ama nchi kavu na si kutuongoza kujua masuala ya ghayb/unseen (future).

Hakuna ajuae ghayb ila ALLAH.
 
Wewe ni kenge, na hapa huchomoi na hizi pumba zako
Not no more, fuqin idiot , kila ukileta hizi takataka nakutokezea kenge wewe
Stupid useless bugger
Mark my words dogo. Wherever you are.
 
Haijarishi ni quotes ngapi utaweka ili kuficha upumbavu wako niliokubainishia.
Mark my words dogo.

Rakims
 
Haijarishi ni quotes ngapi utaweka ili kuficha upumbavu wako niliokubainishia.
Mark my words dogo.

Rakims
Hii haitaondoa ukweli wa kuwa unafundisha watu upotovu . Yeyote mwenye kuamini huu upotovu wako wa horoscope anaingia katika kufr iliyo wazi kabisa
 
Naona mme amua kuwasha moto. Humu[emoji81][emoji81]
 
Hii haitaondoa ukweli wa kuwa unafundisha watu upotovu . Yeyote mwenye kuamini huu upotovu wako wa horoscope anaingia katika kufr iliyo wazi kabisa
Na haitaondoa ukweli kuwa wewe ni Mpumbavu kunilingania mimi hali ya kuwa wewe ni kafiri jilinganie wewe kwanza.
Ukishatakata ndio ulinganie ukoo wenu, ukisha takata ndio ulinganie, mkeo,na ndugu zako wote kisha wananchi wenzio. Kisha watu wasiojulikana kisha Member wa jamii forums kisha duniani na kwingine kote ila mimi niache na upotovu wangu... Maana ni bora kuwa mpotovu kuliko kusikiliza mjinga..

Imagine umekaa na kichaa unamsikiliza. ndio mimi nikae nakusikiliza wewe eti unaharamisha nyota unahalalisha zinaa halafu kwa upumbavu wako umeziba profile ili akili yako ilivyofinyu sasa hivi unaanza kukataa ili kutoa ushahidi wewe ni mdogo sana kimaarifa mdogo wangu Mpumbavu. Badirika You playing yourself like solitaire

Yani unataka kuwaaminisha watu wewe mtakatifu wakati ni kafiri kufurah Neemah

Rakims
 
Mimi Me : 02 January Jina N
Yeye Ke : 29 June Jina S
Utangamano

Wawili nyie ni wenye kuvutiana zaidi kwenye tendo la ndoa, hata tamaa zenu za mapenzi zaidi zimelalia huko kwenye mchezo huo,
Lakini ni wenye kuhitaji furaha zaidi kwanza hadi kufikia kwenye hatua hiyo ya kuingia chumbani baada ya kuelewana kwa tofauti zenu wote nje ya chumba.

Kwa maana yeye mwenye hisia zaidi utaona ni mwenye kuchukizwa zaidi na tabia zako za kutaka kutawala mapenzi.
Na wewe utajikuta ni mwenye kushindwa kuendelea kukubaliana na matakwa yake yaliojaa ung'ang'anizi na hisia ndani yake mithili ya mtu anaetaka kulia na ukizidisha tu ukali utaona machozi teyari, Yeye anataka zaidi mtu mwenye uchangamfu wa kihisia ili kumchangamsha yaani mwenye upendo unaotoka moyoni na atachanganywa na asili yako ya mgomo baridi.

Wawili nyie wote ni wenye kuhofia kukataliwa pale anapotaka lake, Lakini yeye ni mwepesi kutoa na wewe ni mchoyo ama kwa maneno mengine yeye ni mwenye kupenda kutoa na wewe ni mwenye asili ya uchoyo.

Pia yeye ni mwenye kukupa mapenzi unayoyataka lakini wewe ni mwenye uchoyo wa mapenzi na hata ukiambiwa hukubali.
wawili nyie kwa mtizamo hapa ni nyota mbili tofauti na zinapinga mtizamo mzima wa unajimu.

Rakims
 
Mimi, me.kuzaliwa,4 mwezi wa pili .herufi ya jina M.
Yeye,ke.herufi ya jina H.kuzaliwa. 8 January
Katika mahusiano haya mnaonekana ni wawili msioendana hasa ukizingatia kwamba yeye ni mchanga wa bahari na wewe ni Upepo wa kimbunga;

Unaonaje dhoruba ikitokea kando ya bahari?

Hayo ndio mahusiano yenu yalivyo mkiunganisha roho,

yeye atajikuta anakuona wewe ni mtu usiyeweza kumtabiri, na wewe utajikuta ni mtu ambaye unashindwa kwenda na yeye kirahisi hadi utumie nguvu nyingi,

Mbinu zake za kawaida tu za kukuendea hata katika kuomba mchezo utakuta kwake ni kero kubwa sana na atakuona kama vile muda wote wewe ni mwenye kumtibua tu mwanzoni utaona kama anakuvumilia lakini baadae sura kamili ya dhoruba itaonekana.

wewe hujiamini katika kujieleza kimtizamo wako bila maneno.

Na yeye hujiamini katika kujiheshimu bila mipaka, mawasiliano yenu kila mmoja atajikuta haeleweki kwa mwenzie na pia ataona kama anaaibika na kudhalilika kwa mwenzie.

wewe utakuta ni mtu wa kupenda mitoko na yeye utakuta ni mtu wa kupenda mtu mwenye kumaintain maisha ya nyumbani wewe ni mtu mtafutaji yeye atafurahishwa kwa utafutaji wako mwanzo kwa kufuata mkumbo lakini baadae itakuwa too much hata kama utamletea maigizo sasa hivi lakini baadae visafari vya kwa ndugu jamaa na marafiki huwa havikatiki.

wewe vile ni mpenda uhuru, safari ya mapenzi yenu itakuwa ngumu sana na uvumilivu wako kwake ni mdogo wewe unataka mtu mwenye nyota ya moto wa mkaa ambaye wewe ukimletea habari za kutoka unakuwa kama umemtia hamasa.
Hakika wewe ni mwenye kupenda kutoka sasa akitaka kukufunga funga kwa maisha yake ya siasa kimbunga kitazunguka kisha vumbi lako litapeperuka na kubaki umemvuruga.

Nyie mnapendeza zaidi kuwa ni wenye urafiki tu na hata mapenzi yenu mara nyingi huishia kirafiki tu.

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…