Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

mimi mwanaume herufi ya mwanzo ni "A" tarehe ya kuzaliwa 31.01

Mke mtarajiwa herufi ya mwanzo "Z" TAREHE 24.04
 
Mkuu ukipata muda niangalizie hapa kabla sijamuweka ndani huyu mwali

Mimi ni mwanaume

Jina: J
Kuzaliwa: 20 mwezi 08

Yeye

Jina: E

Kuzaliwa: 02 mwezi 04

Utangamano​

leo_aries_heart_by_roy31_df17xta-fullview.jpg

Katika mahusiano haya wewe ni mwenye moto wa mkaa na yeye ni mwenye moto wa jaha hivyo moja kwa moja nyote wawili ni wenye kuendana vema hasa ukizingatia tabia zenu ni kama washindani wawili wenye kushindania mahaba...

Wawili nyie ni sawa na Watu maarufu kinyota kwa maana ni wenye kuendana sana na hasa linapokuja kwenye suala la chumbani ni wenye mapenzi ya kushangaza.

Ni wenye kufanya kila kitu kinachohusu mapenzi kama ushindani yaani nani mshindo ni wenye kupenda matani ya mara kwa mara. Ingawa wewe ni mwenye Mood swing na yeye ni mwenye kupenda kuwa mood off.. lakini muda mwingi utakuta ni watu wenye mapenzi makubwa.

Kwa uaminifu wewe ni muaminifu katika mapenzi lakini kwa upande wake punda ni punda tu hivyo utatakiwa umfanye atulize kishwa.

Linapokuja swala la kujamiiana kwenu ni vita. Kila mtu anakuwa kajiandaa vya kutosha ingawa face expression muda mwingine inaweza ikawa haijitoshelezi..

Lakini moyoni ni wenye kujiambia hapa sikubali kushindwa, Ni watu ambao mnachangia kupendezewa na vitu sawa.

Kwako hufikia umri ambao utajikuta ni mtu mwenye kupenda sana kwenda sinema na yeye ni mwenye kuvutiwa zaidi kufuatilia sinema..

Mara nyingi movies zako pendwa ni Sci-fi na Fantasy na yeye ni Actions and Intelligence hivyo ni wenye kuvutika kila mmoja wenu na mwenziwe anachopenda.

Hivyo hivyo hata kwa vitu ambavyo hampendi navyo hufanana kwenu. Tatizo lenu kubwa kwenye mahusiano haya ingawa mnaendana sana ni jambo moja.

Kila mmoja wenu anagubu la asili na kupenda kulalamika kwa kitu kidogo hasa kwa upande wako ambaye kila kitu wewe hupeleka moyoni.

Kila mmoja kati yenu ni mwenye kutaka kumtawala mwenzie..

Wewe ni kama mfalme kutawaliwa ni jambo ambalo halikuvutii hata katika historia ya maisha yako na yeye ni kama Amir Jeshi Mkuu.. Kutawaliwa kwake ni Mwiko..

Ili mahusiano yenu yaweze kwenda kila mmoja huvutiwa zaidi na mwenzake akiwa atampa uhuru wa maamuzi na kujitawala.

Shida nyingine katika nyumba yenu. Wewe ni Mtu utakuwa mwenye kupenda watu yeye atakuwa hataki watu hata kidogo.
Either atakwambia au hata kwambia mwisho wa siku kila anaekuja kwenu yeye atakuwa anamtoa kasoro ili tu ifikie sehemu aone vibaya awaache.

Rakims
 
Haya [mention]Rakims [/mention] Sijawahi kuamini kwenye mambo ya nyota ila kama ukipatia hapa lazima niamini na ntakutafuta

Mimi Me : 03/01 (Herufi ya kwanza D)

yeye ke : 25/09 (Herufi ya kwanza H)

Utangamano:​

Mahusiano haya ni sawa na watu wawili waliokosa uelekeo. hawa ndio ukiskia mtu kakosea kuoa au kuolewa.
Wewe ni mchanga wa bahari na yeye ni upepo wa juu.

Licha ya kutokuendana hata kukaribiana hamkaribiani, hili utajionea maana ya ile kauli kwamba unaweza kukaa kwenye uhawara miaka 10 lakini mwaka mmoja wa ndoa ukakushinda.

Mtizamo upo hivi:
Wewe ni mtu mwenye kuvutiwa na yeye kwa sababu ana mvuto ambao wewe unajikuta ni mtu wa kumbembeleza pamoja na kubembelezea mapenzi.

Upendo mlionao unaweza kukuokoa kwa kipindi fulani lakini hizi ndio ndoa ambazo wenza huwa wanarushiana ngumi maana ni uvumilivu hadi una fikia hatua ya kukata tamaa.

Japo mtafanikiwa kupata watoto kirahisi na mtazaa watoto wazuri kwa kuwa tu mnaingia mlango wa 5 kwenye ndoa yaani kizazi na mali lakini mateso ni makubwa kuliko mapenzi.

Yeye ni mtu mwenye tamaa na wewe kwenye mahusiano kwa muda huo ambao utakuwa nae au mtakao kuwa pamoja.
Elewa ya kwamba mahitaji yake katika mapenzi kuna jinsi na hali atakazo kuwa anataka uwe na wewe hutakuwa na uwezo wa kumpatia, Kikubwa wapo ni hisia haijarishi utafanya nini kwake hataona ukweli wa hisia zako kumpenda na ataona ni maneno tu.

Pia kutoshelezana kwenu ni kwa uchache sana yeye anapenda sana mauno na wewe magoti kidogo itafikia sehemu itakuwa ni mtihani kipindi hiki kwanza utakua huelewi elewi utakuwa unaona kama ni mtu asiyesomeka,

Baadae mwezi wa 9 hadi wa 10 kama hujamuoa anaweza kukwambia anaona uelekeo wa maisha hauoni na kuna uwezekano mkubwa mwezi huo wa mwaka huu akaanza kujihusisha na mtu mwingine na pia utapata habari kupitia mawasiliano yake kwa hivi sasa.

Atapenda mambo ambayo hutaweza kumtimizia kwa wakati anaoutaka sio kwamba huna uwezo wa kutimiza na akiwa tofauti na mtu mwingine utaona hiyo tabia hana atakuwa nayo kwako.

Na katika hali za kujionyesha na kuwaonyesha watu kuwa ana jambo fulani ni tabia ambayo wewe huna kitu ambacho yeye hupenda mtu aliyenae awe hivyo

Na utakuwa ukimuheshimu kwenye mahusiano na yeye atakuwa anakuchukulia kama ni mpuuzi atakuona mbinafsi na unakosea na mapenzi hayapo hivyo na utatolewa kasoro kila mara.

Baada ya hapo kwenye mahusiano hukugeuka na kuanza
kuangalia mahali pengine na kukuweka uwe na wivu nae kwake ni starehe yake japo ni jambo litakalo kuwa linakutesa.

Japo kuwa ni mtu mzuri kwa watu wengine kwako wewe mahusiano haya ni Kichocheo cha maafa (Sijataka kwenda deep sana kwenye case ya wazazi ambayo ndio inanifanya nikwambie ni mtu asiyekufaa.

SEHEMU YA HISIA:
Kiuno chake ndio sehemu inapotawala hisia yake utaona analalama kiuno kinasumbua ili tu kupata kupapaswa na kukandwa eneo hilo.

Rakims
 
Mmmmmmhmn

Mimi Me, herufi ya kwanza Y tarehe ya kuzaliwa May 29

Yeye Ke, Herufi ya kwanza ni L, tarehe ya kuzaliwa ni May 26
 
Mimi ke 23jan herufi ya kwanza H
Yeye me 30 march herufi ya kwanza G
 
Utangamano​

leo_aries_heart_by_roy31_df17xta-fullview.jpg

Katika mahusiano haya wewe ni mwenye moto wa mkaa na yeye ni mwenye moto wa jaha hivyo moja kwa moja nyote wawili ni wenye kuendana vema hasa ukizingatia tabia zenu ni kama washindani wawili wenye kushindania mahaba...

Wawili nyie ni sawa na Watu maarufu kinyota kwa maana ni wenye kuendana sana na hasa linapokuja kwenye suala la chumbani ni wenye mapenzi ya kushangaza.

Ni wenye kufanya kila kitu kinachohusu mapenzi kama ushindani yaani nani mshindo ni wenye kupenda matani ya mara kwa mara. Ingawa wewe ni mwenye Mood swing na yeye ni mwenye kupenda kuwa mood off.. lakini muda mwingi utakuta ni watu wenye mapenzi makubwa.

Kwa uaminifu wewe ni muaminifu katika mapenzi lakini kwa upande wake punda ni punda tu hivyo utatakiwa umfanye atulize kishwa.

Linapokuja swala la kujamiiana kwenu ni vita. Kila mtu anakuwa kajiandaa vya kutosha ingawa face expression muda mwingine inaweza ikawa haijitoshelezi..

Lakini moyoni ni wenye kujiambia hapa sikubali kushindwa, Ni watu ambao mnachangia kupendezewa na vitu sawa.

Kwako hufikia umri ambao utajikuta ni mtu mwenye kupenda sana kwenda sinema na yeye ni mwenye kuvutiwa zaidi kufuatilia sinema..

Mara nyingi movies zako pendwa ni Sci-fi na Fantasy na yeye ni Actions and Intelligence hivyo ni wenye kuvutika kila mmoja wenu na mwenziwe anachopenda.

Hivyo hivyo hata kwa vitu ambavyo hampendi navyo hufanana kwenu. Tatizo lenu kubwa kwenye mahusiano haya ingawa mnaendana sana ni jambo moja.

Kila mmoja wenu anagubu la asili na kupenda kulalamika kwa kitu kidogo hasa kwa upande wako ambaye kila kitu wewe hupeleka moyoni.

Kila mmoja kati yenu ni mwenye kutaka kumtawala mwenzie..

Wewe ni kama mfalme kutawaliwa ni jambo ambalo halikuvutii hata katika historia ya maisha yako na yeye ni kama Amir Jeshi Mkuu.. Kutawaliwa kwake ni Mwiko..

Ili mahusiano yenu yaweze kwenda kila mmoja huvutiwa zaidi na mwenzake akiwa atampa uhuru wa maamuzi na kujitawala.

Shida nyingine katika nyumba yenu. Wewe ni Mtu utakuwa mwenye kupenda watu yeye atakuwa hataki watu hata kidogo.
Either atakwambia au hata kwambia mwisho wa siku kila anaekuja kwenu yeye atakuwa anamtoa kasoro ili tu ifikie sehemu aone vibaya awaache.

Rakims
Shukrani sana mkuu
 
Na je? Tunaangukia mlango wa ngapi kweye ndoa?
Mlango wa 6... ambao ni mlango wa huduma na Afya..

Kipato mtajitosheleza shida itakuwa kwenye afya... akiwa ana cheat au unacheat yeye atakuwa anaumwa kichwa na wewe utakuwa moyo unalipuka hovyo.

Hivyo zikigongana dalili hizi pamoja ajue anaibiwa au wewe unaibiwa.

Rakims
 
Utangamano:​

Mahusiano haya ni sawa na watu wawili waliokosa uelekeo. hawa ndio ukiskia mtu kakosea kuoa au kuolewa.
Wewe ni mchanga wa bahari na yeye ni upepo wa juu.

Licha ya kutokuendana hata kukaribiana hamkaribiani, hili utajionea maana ya ile kauli kwamba unaweza kukaa kwenye uhawara miaka 10 lakini mwaka mmoja wa ndoa ukakushinda.

Mtizamo upo hivi:
Wewe ni mtu mwenye kuvutiwa na yeye kwa sababu ana mvuto ambao wewe unajikuta ni mtu wa kumbembeleza pamoja na kubembelezea mapenzi.

Upendo mlionao unaweza kukuokoa kwa kipindi fulani lakini hizi ndio ndoa ambazo wenza huwa wanarushiana ngumi maana ni uvumilivu hadi una fikia hatua ya kukata tamaa.

Japo mtafanikiwa kupata watoto kirahisi na mtazaa watoto wazuri kwa kuwa tu mnaingia mlango wa 5 kwenye ndoa yaani kizazi na mali lakini mateso ni makubwa kuliko mapenzi.

Yeye ni mtu mwenye tamaa na wewe kwenye mahusiano kwa muda huo ambao utakuwa nae au mtakao kuwa pamoja.
Elewa ya kwamba mahitaji yake katika mapenzi kuna jinsi na hali atakazo kuwa anataka uwe na wewe hutakuwa na uwezo wa kumpatia, Kikubwa wapo ni hisia haijarishi utafanya nini kwake hataona ukweli wa hisia zako kumpenda na ataona ni maneno tu.

Pia kutoshelezana kwenu ni kwa uchache sana yeye anapenda sana mauno na wewe magoti kidogo itafikia sehemu itakuwa ni mtihani kipindi hiki kwanza utakua huelewi elewi utakuwa unaona kama ni mtu asiyesomeka,

Baadae mwezi wa 9 hadi wa 10 kama hujamuoa anaweza kukwambia anaona uelekeo wa maisha hauoni na kuna uwezekano mkubwa mwezi huo wa mwaka huu akaanza kujihusisha na mtu mwingine na pia utapata habari kupitia mawasiliano yake kwa hivi sasa.

Atapenda mambo ambayo hutaweza kumtimizia kwa wakati anaoutaka sio kwamba huna uwezo wa kutimiza na akiwa tofauti na mtu mwingine utaona hiyo tabia hana atakuwa nayo kwako.

Na katika hali za kujionyesha na kuwaonyesha watu kuwa ana jambo fulani ni tabia ambayo wewe huna kitu ambacho yeye hupenda mtu aliyenae awe hivyo

Na utakuwa ukimuheshimu kwenye mahusiano na yeye atakuwa anakuchukulia kama ni mpuuzi atakuona mbinafsi na unakosea na mapenzi hayapo hivyo na utatolewa kasoro kila mara.

Baada ya hapo kwenye mahusiano hukugeuka na kuanza
kuangalia mahali pengine na kukuweka uwe na wivu nae kwake ni starehe yake japo ni jambo litakalo kuwa linakutesa.

Japo kuwa ni mtu mzuri kwa watu wengine kwako wewe mahusiano haya ni Kichocheo cha maafa (Sijataka kwenda deep sana kwenye case ya wazazi ambayo ndio inanifanya nikwambie ni mtu asiyekufaa.

SEHEMU YA HISIA:
Kiuno chake ndio sehemu inapotawala hisia yake utaona analalama kiuno kinasumbua ili tu kupata kupapaswa na kukandwa eneo hilo.

Rakims

kwahyo suluhisho ni lipi.

Mana ikitokea watu wamekuwa pamoja kwa muda mwingi na kuzaa watoto haiwezekani kuvunja ndoa kisa hamjaendana.

Suluhisho ni lipi hapa ili kuenenda pamoja

asante.
 
Vitu vyote vinavyotegemea nyota ni kuacha kushirikiana mfano biashara kila mtu afanye yake..

Kama hujamjengea muandikie nyumba na kiwanja chake...

Kama mnatumia gari moja mnunulie ya kwake...

Muhimu mtengane kwa upande...

Mambo yako yawe yako. Yake yawe yake

Jihadhari siku ukimuingilia ukahisi kama mpira inakubidi uache kwanza na kufanya baada ya lisaa au masaa mawili ili nyota za saa zisiwatatize..

Ikiwa unampenda mshirikishe haya.

Vinginevyo ni mwendo wa likitoka janga hili linakuja hili. Mwisho wa siku mnaweza kukufuru

Rakims
 
mkuu mimi mwanaume jina linaanzia na herufi D 20/5

mwanamke F 26/8
naweza nikafunga naye ndoa huyu
 
Back
Top Bottom