Mimi mi ME kaka.Wewe nani sasa mwanaume au mwanamke?
Yaani mimi ni mwanaume.Mimi mi ME kaka.
Mimi ni ME tarehe 01/01 herufi MMimi mi ME kaka.
Yangu mkuuTumeishia kwa nani wakuu?
Ni kweli atatupikia wali na kuleta kwenye sahani na kututengea kisha tukala na kushiba...Mambo ya marehemu,shehe yahya, looo
Mungu atosha kwakweli
[emoji3166]Mimi ni ke 10/11 S
Yy ni me 29/01 B
@Rakims hio yangu bado kaka.Mimi ni ME tarehe 01/01 herufi M
Yeye ni KE tarehe 02/12 herufi A
RakimsMwanamke 26/6
Mwanaume 20/1
Mbona yakwangu umepita.Pole mwenyezi Mungu atakuponya utakuwa salama...
Barikiwa mkuu
Rakims