Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Me herufi ya mwanzo: M
Tarehe ya kuzaliwa: 18/10

Ke herufi ya mwanzo: A
Tarehe ya kuzaliwa: 12/04
 
Mambo ya marehemu,shehe yahya, looo
Mungu atosha kwakweli
Ni kweli atatupikia wali na kuleta kwenye sahani na kututengea kisha tukala na kushiba...

Ifikie sehemu Mwenyezi Mungu Aombwe funguo za akili zilizolala na kufungwa na mashetani walaghai wenye kujaza ujinga..

Pole na Mungu akunusuru

Rakims
 
Back
Top Bottom