Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

NYAMBAFUUUU UMEKUJA KUFANYA MAJARIBIO EEH BAADA YA KUSOMEA UCHAWII SIO....HALAFU KESHO UFUNGUEE....OFISI YA MGANGA WA KITABU
Umri wako unakuvuruga kijana
 
Kwahyo wewe ni Mke wa Mganga unamsaidia majukumu kama vile ya kuponda dawa na kusoma nyota za watu kama hivi?
Hizi akili zenu hizi Mungu awatizame kwa jicho la huruma
 
Hapana mkuu kubadiri jina ni kubadiri upepo tu wa ascendant lakini uhalisia upo pale pale. pia hayo mambo nimeshafundisha kabla hii ni ziada nayo sio kwa kila mtu ni kwa watu baadhi wenye uhitaji nayo kwa watoto wa 2,000 hata ndoa hawana hii kwao ni kichekesho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…