Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Kwahyo wewe ni Mke wa Mganga unamsaidia majukumu kama vile ya kuponda dawa na kusoma nyota za watu kama hivi?
Hizi akili zenu hizi Mungu awatizame kwa jicho la huruma
 
With all due respect mkuu lakini mapenzi ya sasa bila pesa ni kazi bure, dunia imechange.

Wafundisheni watu kujiongeza namna ya kupata ela, rangi za bahati, vito mafusho and likes.

Nyota unaweza kubadili hata jina na nyota inabadirika na ndio hata nchi huwa zinabadiri majina.
Hapana mkuu kubadiri jina ni kubadiri upepo tu wa ascendant lakini uhalisia upo pale pale. pia hayo mambo nimeshafundisha kabla hii ni ziada nayo sio kwa kila mtu ni kwa watu baadhi wenye uhitaji nayo kwa watoto wa 2,000 hata ndoa hawana hii kwao ni kichekesho tu.
 
Back
Top Bottom