Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
UnazinguaOngeza details mkuu watu wa jamii forum kuwafahamu jinsia ni ngumu changamanua kama nilivyohitaji kwenye thread
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnazinguaOngeza details mkuu watu wa jamii forum kuwafahamu jinsia ni ngumu changamanua kama nilivyohitaji kwenye thread
Hapo sasa sawa,Mkuu mbona wengine unaturuka
Mie Me jina E tarehe 12 August
Yeye Ke jina I tarehe 12 January
Ni wapenzi
Mkuu naomba unijibu, nimeongeza details tayariHii inakuwa sio thread yake mkuu.
Kama ulikuwa unatafuta mahusiano au ndoa basi kwa huyu unakuwa umepata kwa maana mnaendana kwa asilimia 95 na pia mnaendana kwa nafasi kubwa sana kama mnamahusiano tu kama ulivyosema basi muombe akuoe hata kesho kwa maana hapo hujakosea na upo sahihi sana pia wewe maji ya bahari na yeye ni mchanga hivyo kila mtu hufurahi na hupenda kuona bahari jinsi ilivyo mnaendana sana huyu anakubeba kwa asilimia kubwa na wewe unamtakasa kwa asilimia kubwa na watu wakiwatizama pamoja mnakuwa hamchoshiMkuu Mimi naona unaniruka na naandika mara ya 4 sasa
Mimi ni me 26/06 herufi E
Yeye ni je 04/04 herefi L
Unachoandika huna tofauti na mtu anaeandika bila fikra unaropoka kwa kuwa wewe huna kazi ya kufanya sio wote kwa maana ungekuwa na kazi ya kufanya ungefikiria mara mbili kabla ya kuquote pumba hakuna mtu anaefanya kazi au anaeanzisha biashara ili agawe sadaka acha kufikiria kama vile una ubongo wa funza huna unachojua zaidi ya matope.Hawezi kuja huyo, lengo lake sio kutoa msaada humu bali ni kiwapiga pesa. Na ndio maana katoa maelezo mengi halafu kaweka na namba za simu ili wakuingia kingi aingie kwa kumtafuta kwenye simu. Angekuwa mtoa huduma angewajibu watu humu ila ni mtumia fursa huyo
Kwa mtizamo ni kuwa wewe una asili ya maji ya bahari na yeye ana asili ya maji moto hii inawaweka kuwa ni watu wenye kuendana vema kwani wewe humpandisha hisia na kumjaza hisia za upendo kwa maana yeye ni mtu wa nguvu na shauku nyingi na hii ni kwa sababu wewe unakuwa na sifa kuu ya uaminifu na ni mwepesi kuaminika, hiyo hupelekea kwa yeye mwenye asili ya wivu kuliko asili zingine 12 kuwa mwenye utulivu na kujihisi kwako kafika.Rakims mimi ni mwanaume jina linaanza na S na nimezaliwa tarehe 17 july 1984 na wife jina linaanzia herufi A amezaliwa tarehe 21 October 1987. Nahitaji uchambuzi wako mkuu.
Mkuu ukirudi naomba uanze na mimiNitarudi...................................................!