Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimeshamuoaUna mpango wa kufunga nae ndoa?
Dah! Mkuu mbona niko hapa kitambo sana, ila unaniruka?!..Mkuu ukirudi husinisahau aisee!
Mimi ni Me, naitwa N, nimezaliwa tarehe 22/12.
Yeye Ke, anaitwa J, amezaliwa tarehe 2/8.
Ahsante!..
Kwa mtizamo unaonekana wewe ni mwenye asili ya udongo mwekundu na yeye ni mwenye asili ya maji ya bahari hivyo kwa mtizamo huu ni mtu mnaeendana kwa asilimia 77 ambapo hisia zako kwa mtu ambaye ni mchambuzi mzuri yaani yeye mnakuwa ni watu ambao mnaoendana vizuri ingawa mnatabia tofauti hiyo haifanyi kutokuwa sawa. unaonekana kuna kipindi unaweza kumchemsha kidogo lakini huwa ni sawa na moto chii ya barafu hivyo hugeuka uchochezi huo kuwa ulinzi mkubwa wa mapenzi,usalama uhusiano mzuri wa mapenzi utafutaji wako mzuri na mawazo mazuri ya kujitafutia riziki huwa ni msaada mkubwa kwake ambaye ni mtu mwenye malengo mazuri katika maisha yake na yenu pia na unasifika kwa kuwa ni muelewa kwake anaweza kukaa na kujisifu kwa wenzie kuwa huyu ni muelewa kwangu na msaada wake mkubwa wa fikra na uchambuzi unakuwa ni faraja kwako ambaye ni mwenye kutafuta mtu anaejielewa zaidi.Mimi ni Me jina linaanza na A na tarehe ya kuzaliwa ni 28/8
Mpenzi (Ke), jina linaanza na M tarehe ya kuzaliwa ni 22/7,
Tumezidiana miaka miwili, mimi Me ni mkubwa kwake
Mimi ni Ke ...Ngoja nitafute mkuu nione ni wapi umeweka
Sawa nimekupata hapa japo hujasema mna mahusiano ganiSawa
Mimi mwanaume jina langu E
Kuzaliwa 25/12/91
Na mwenzangu jina lake E
Kuzaliwa 18/12/93.
Asante sana mkuu, umenifungua mengi, na mengi pia uliyoongea ni sahihi kwa asilimia kubwa,Kwa mtizamo unaonekana wewe ni mwenye asili ya udongo mwekundu na yeye ni mwenye asili ya maji ya bahari hivyo kwa mtizamo huu ni mtu mnaeendana kwa asilimia 77 ambapo hisia zako kwa mtu ambaye ni mchambuzi mzuri yaani yeye mnakuwa ni watu ambao mnaoendana vizuri ingawa mnatabia tofauti hiyo haifanyi kutokuwa sawa. unaonekana kuna kipindi unaweza kumchemsha kidogo lakini huwa ni sawa na moto chii ya barafu hivyo hugeuka uchochezi huo kuwa ulinzi mkubwa wa mapenzi,usalama uhusiano mzuri wa mapenzi utafutaji wako mzuri na mawazo mazuri ya kujitafutia riziki huwa ni msaada mkubwa kwake ambaye ni mtu mwenye malengo mazuri katika maisha yake na yenu pia na unasifika kwa kuwa ni muelewa kwake anaweza kukaa na kujisifu kwa wenzie kuwa huyu ni muelewa kwangu na msaada wake mkubwa wa fikra na uchambuzi unakuwa ni faraja kwako ambaye ni mwenye kutafuta mtu anaejielewa zaidi.
Na utegemeaji wako wa mawazo kwa mwenzio yaani kushauriana na kushirikiana unakuwa ni sahihi kuwa na mahusiano na yeye ambaye ni mtu akiona mwenzie ana mtegemea basi ni mtu mwenye kujitoa kwa hali na mali sema mazaifu yake ni lawama na kinyongo cha muda mrefu cha chini chini kila mmoja kati yenu anakuwa na wasiwasi wa kutaka kuona anakuwa ni kitoshelezo kwa mwingine.
Kwa mtidhamo huu unaonyesha mnaweza kufika mbali.
SEHEMU YAKE YA HISIA;
Kama ilivyo kila mtu ana sehemu yake maalumu ya hisia basi kwake sehemu yake ya hisia ni eneo zima linalozunguka tumbo lake hasa ukiweza kupitisha ulimi wako pembeni ya tumbo lake na jirani ya maeneo yanayokaribia tumboni basi utaona ana hisia za kiwazimu huyu ni moja kati ya wale wanawake ambao ukimbinya sehemu za tumboni huruka sana na hisia zake hupanda haraka na pia huoonyesha ulaghai kuwa ni kitu muda mwingine hapendi kufanya michezo ya bafuni ni kitu kingine huyu hupenda sababu moja wapo inayompelekea kupenda kucheza bafuni ni vile watu hawa wenye asili ya mchanga mwekundu hupenda sana kuwa wasafi na hutumia muda kuwa bafuni na hiyo tu kama bafu lenu lina hali nzuri,
Ikiwa utacheza nae bafuni kwa kumsponge na kumpaka sabuni maeneo ya tumboni basi utaona anapandwa na midadi kwa haraka na ukimchuruzia maji eneo hilo basi hupata raha isiyokifani vile vile makinika nae kwa maana ni mtu ambaye hupenda kujaribu chochote chumbani na pia katika vitu hufungua kichwa chake zaidi huwa ni massage ya tumbo za vidole na ikiwa unapitisha kama unyoya basi yeye huhisi raha isiyo kifani fanya hivyo hadi pale utakapoona kaacha kuguna kwa hamasa kisha baada ya hapo moja kwa moja atakuwa ni mtumwa wako unachotaka afanye atafanya kwa hapo.
Mtazamo unaonyesha kuwa wewe una asili ya upepo wa pumzi na yeye ni maji ya moto hivyo kwa mtizamo huu Unaonekana ni mwenye kuwa na mawazo kuhusu yeye ambaye ni mtu mwenye wivu sana tabia ya kuwa una muwazia na kumuonyesha humfanya yeye kujihisi kupendwa na kuridhiwa ambacho ni kitu kingekuwa kizuri kama mngezidi kuwa pamoja lakini ukweli ni kwamba wewe na yeye hamna maisha marefu ya mahusiano hasa ukizingatia mapenzi yenu makuu yatakuwa yanaonekana wakati tu wa kuombana tendo la ndoa au ngono kisha baada ya hapo mambo hubadirika na hiyo tu pale wewe/yeye mmoja wenu atakapo shtuka na kuona kuwa tendo sio kila kitu kuna vitu vingine vya kulea mahusiano hapo ndio changamoto huanza kutokea;-Mimi ni Ke ...
Jina linaanza na N Nov 4
Me jina linaanza na H Mei 25
Tupo kwenye mahusiano
Nijibu basi mm
Wewe ni moto wa jaha na yeye ni moto wa nyasi ni watu mnaendana vizuri tu ya kuzingatia ni kwamba yeye na wewe nyote mna moto wenye kufanana kwa maana moto wa nyasi huwezi kuanza wenyewe na pia moto wa jaha huzuka tu na kuwaka wenyewe hivyo couple yenu ni nzuri ila ina vichekesho vingi.Mimi 04/04, me herufi A
Yeye 18/12, ke herufi L
Ni wachumba
Ok naweza kukusaidia lakini kuna details utanitajika kutoa na baada ya hapo utalipia hiyo kazi sio bure.Mkuu naomba nisaidie nimrudishe mwanamke aliyeniacha. Ila nampenda hadi sijielewi. Hapa nilikua nacheki picha zake kichwa kimepata moto hadi nasikia kizunguzungu. Nisaidie Asee