Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Mimi ME Jina R. Tarehe 25/05/1987 KE jina A tarehe 04/10/
Nitafurahi ukinipa majibu.
 
R tar 15/11 me
M tar 10/5 ke
Umenipita sana...tunaishi pamoja kwao wanajua kwetu hawajui yaani hawana uhakika ...nmezaa nae 1kid
 
Mkuu ukirudi husinisahau aisee!

Mimi ni Me, naitwa N, nimezaliwa tarehe 22/12.

Yeye Ke, anaitwa J, amezaliwa tarehe 2/8.

Ahsante!..
Dah! Mkuu mbona niko hapa kitambo sana, ila unaniruka?!..
 
Mimi ni mwanaume nimezaliwa 17-05 Jina langu linaanza herufi (I)
Yeye mwanamke amezaliwa 21-05 Jina lake linaanza herufi (H)

Mkuu Rakims naomba uniangalizie katika nyanja zote, kila idara mkuu..

Nawasilisha..
 
Mimi ni Me jina linaanza na A na tarehe ya kuzaliwa ni 28/8

Mpenzi (Ke), jina linaanza na M tarehe ya kuzaliwa ni 22/7,

Tumezidiana miaka miwili, mimi Me ni mkubwa kwake
Kwa mtizamo unaonekana wewe ni mwenye asili ya udongo mwekundu na yeye ni mwenye asili ya maji ya bahari hivyo kwa mtizamo huu ni mtu mnaeendana kwa asilimia 77 ambapo hisia zako kwa mtu ambaye ni mchambuzi mzuri yaani yeye mnakuwa ni watu ambao mnaoendana vizuri ingawa mnatabia tofauti hiyo haifanyi kutokuwa sawa. unaonekana kuna kipindi unaweza kumchemsha kidogo lakini huwa ni sawa na moto chii ya barafu hivyo hugeuka uchochezi huo kuwa ulinzi mkubwa wa mapenzi,usalama uhusiano mzuri wa mapenzi utafutaji wako mzuri na mawazo mazuri ya kujitafutia riziki huwa ni msaada mkubwa kwake ambaye ni mtu mwenye malengo mazuri katika maisha yake na yenu pia na unasifika kwa kuwa ni muelewa kwake anaweza kukaa na kujisifu kwa wenzie kuwa huyu ni muelewa kwangu na msaada wake mkubwa wa fikra na uchambuzi unakuwa ni faraja kwako ambaye ni mwenye kutafuta mtu anaejielewa zaidi.
Na utegemeaji wako wa mawazo kwa mwenzio yaani kushauriana na kushirikiana unakuwa ni sahihi kuwa na mahusiano na yeye ambaye ni mtu akiona mwenzie ana mtegemea basi ni mtu mwenye kujitoa kwa hali na mali sema mazaifu yake ni lawama na kinyongo cha muda mrefu cha chini chini kila mmoja kati yenu anakuwa na wasiwasi wa kutaka kuona anakuwa ni kitoshelezo kwa mwingine.
Kwa mtidhamo huu unaonyesha mnaweza kufika mbali.

SEHEMU YAKE YA HISIA;
Kama ilivyo kila mtu ana sehemu yake maalumu ya hisia basi kwake sehemu yake ya hisia ni eneo zima linalozunguka tumbo lake hasa ukiweza kupitisha ulimi wako pembeni ya tumbo lake na jirani ya maeneo yanayokaribia tumboni basi utaona ana hisia za kiwazimu huyu ni moja kati ya wale wanawake ambao ukimbinya sehemu za tumboni huruka sana na hisia zake hupanda haraka na pia huoonyesha ulaghai kuwa ni kitu muda mwingine hapendi kufanya michezo ya bafuni ni kitu kingine huyu hupenda sababu moja wapo inayompelekea kupenda kucheza bafuni ni vile watu hawa wenye asili ya mchanga mwekundu hupenda sana kuwa wasafi na hutumia muda kuwa bafuni na hiyo tu kama bafu lenu lina hali nzuri,

Ikiwa utacheza nae bafuni kwa kumsponge na kumpaka sabuni maeneo ya tumboni basi utaona anapandwa na midadi kwa haraka na ukimchuruzia maji eneo hilo basi hupata raha isiyokifani vile vile makinika nae kwa maana ni mtu ambaye hupenda kujaribu chochote chumbani na pia katika vitu hufungua kichwa chake zaidi huwa ni massage ya tumbo za vidole na ikiwa unapitisha kama unyoya basi yeye huhisi raha isiyo kifani fanya hivyo hadi pale utakapoona kaacha kuguna kwa hamasa kisha baada ya hapo moja kwa moja atakuwa ni mtumwa wako unachotaka afanye atafanya kwa hapo.
 
Mimi ni mwanaume nimezaliwa 17-05 Jina langu linaanza herufi (I)
Yeye mwanamke amezaliwa 21-05 Jina lake linaanza herufi (H)

Mkuu Rakims naomba uniangalizie katika nyanja zote, kila idara mkuu..

Nawasilisha..
Mna uhusiano gani?
 
Sawa
Mimi mwanaume jina langu E
Kuzaliwa 25/12/91
Na mwenzangu jina lake E
Kuzaliwa 18/12/93.
Sawa nimekupata hapa japo hujasema mna mahusiano gani
Ipo hivi kwa mtizamo wewe ni mwenye asili ya mchanga wa bahari na yeye ni moto wa nyasi kwa haraka tu hapa mnakuwa hamuendani mkuu kwa maana mpo tofauti sana kwa maana;- wewe unaonekana ni mwenye kufurahiwa sana na yeye kwa kipindi cha awali na yeye utamuona ni mwenye matumaini makubwa lakini vile vile yeye mtizamo wake kwako anakuona ni sawa na mtu aliyejitosheleza lakini nyote kwa pamoja kwenye mahusiano yenu mapema sana utaanza kukasirishwa na matakwa yake ya uhuru bila masharti. Utahisi kuwa huna uwezo tena wa kuweza kumuamini kwa maana tabia za kutaka uhuru zaidi zitatia dosari mahusiano yenu
Na tabia ya kujichanganya, matumizi na kutokujali kwake ikianza kujidhihirisha moja kwa moja na wewe mshipa wa subira utakatika kwa maana matakwa yako yanaonekana ni mtu mwenye kutaka mke ambaye atatulia nyumbani/ndani lakini yeye ni mwenye kutaka mume mwenye kumruhusu kufanya chochote anachotaka muda wowote.
Kamba yoyote au lolote linalowaunganisha kuwa kwenye mahusiano au ndoa basi haina maisha marefu na huishia kukatika.
 
Ndoa;

Yeye (Ke)........V 16/05
Mimi (me) ......B 31/10
 
Kwa mtizamo unaonekana wewe ni mwenye asili ya udongo mwekundu na yeye ni mwenye asili ya maji ya bahari hivyo kwa mtizamo huu ni mtu mnaeendana kwa asilimia 77 ambapo hisia zako kwa mtu ambaye ni mchambuzi mzuri yaani yeye mnakuwa ni watu ambao mnaoendana vizuri ingawa mnatabia tofauti hiyo haifanyi kutokuwa sawa. unaonekana kuna kipindi unaweza kumchemsha kidogo lakini huwa ni sawa na moto chii ya barafu hivyo hugeuka uchochezi huo kuwa ulinzi mkubwa wa mapenzi,usalama uhusiano mzuri wa mapenzi utafutaji wako mzuri na mawazo mazuri ya kujitafutia riziki huwa ni msaada mkubwa kwake ambaye ni mtu mwenye malengo mazuri katika maisha yake na yenu pia na unasifika kwa kuwa ni muelewa kwake anaweza kukaa na kujisifu kwa wenzie kuwa huyu ni muelewa kwangu na msaada wake mkubwa wa fikra na uchambuzi unakuwa ni faraja kwako ambaye ni mwenye kutafuta mtu anaejielewa zaidi.
Na utegemeaji wako wa mawazo kwa mwenzio yaani kushauriana na kushirikiana unakuwa ni sahihi kuwa na mahusiano na yeye ambaye ni mtu akiona mwenzie ana mtegemea basi ni mtu mwenye kujitoa kwa hali na mali sema mazaifu yake ni lawama na kinyongo cha muda mrefu cha chini chini kila mmoja kati yenu anakuwa na wasiwasi wa kutaka kuona anakuwa ni kitoshelezo kwa mwingine.
Kwa mtidhamo huu unaonyesha mnaweza kufika mbali.

SEHEMU YAKE YA HISIA;
Kama ilivyo kila mtu ana sehemu yake maalumu ya hisia basi kwake sehemu yake ya hisia ni eneo zima linalozunguka tumbo lake hasa ukiweza kupitisha ulimi wako pembeni ya tumbo lake na jirani ya maeneo yanayokaribia tumboni basi utaona ana hisia za kiwazimu huyu ni moja kati ya wale wanawake ambao ukimbinya sehemu za tumboni huruka sana na hisia zake hupanda haraka na pia huoonyesha ulaghai kuwa ni kitu muda mwingine hapendi kufanya michezo ya bafuni ni kitu kingine huyu hupenda sababu moja wapo inayompelekea kupenda kucheza bafuni ni vile watu hawa wenye asili ya mchanga mwekundu hupenda sana kuwa wasafi na hutumia muda kuwa bafuni na hiyo tu kama bafu lenu lina hali nzuri,

Ikiwa utacheza nae bafuni kwa kumsponge na kumpaka sabuni maeneo ya tumboni basi utaona anapandwa na midadi kwa haraka na ukimchuruzia maji eneo hilo basi hupata raha isiyokifani vile vile makinika nae kwa maana ni mtu ambaye hupenda kujaribu chochote chumbani na pia katika vitu hufungua kichwa chake zaidi huwa ni massage ya tumbo za vidole na ikiwa unapitisha kama unyoya basi yeye huhisi raha isiyo kifani fanya hivyo hadi pale utakapoona kaacha kuguna kwa hamasa kisha baada ya hapo moja kwa moja atakuwa ni mtumwa wako unachotaka afanye atafanya kwa hapo.
Asante sana mkuu, umenifungua mengi, na mengi pia uliyoongea ni sahihi kwa asilimia kubwa,

Again , Shukrani sana, Mungu akubariki sana
 
Mimi ni Ke ...
Jina linaanza na N Nov 4
Me jina linaanza na H Mei 25
Tupo kwenye mahusiano
Mtazamo unaonyesha kuwa wewe una asili ya upepo wa pumzi na yeye ni maji ya moto hivyo kwa mtizamo huu Unaonekana ni mwenye kuwa na mawazo kuhusu yeye ambaye ni mtu mwenye wivu sana tabia ya kuwa una muwazia na kumuonyesha humfanya yeye kujihisi kupendwa na kuridhiwa ambacho ni kitu kingekuwa kizuri kama mngezidi kuwa pamoja lakini ukweli ni kwamba wewe na yeye hamna maisha marefu ya mahusiano hasa ukizingatia mapenzi yenu makuu yatakuwa yanaonekana wakati tu wa kuombana tendo la ndoa au ngono kisha baada ya hapo mambo hubadirika na hiyo tu pale wewe/yeye mmoja wenu atakapo shtuka na kuona kuwa tendo sio kila kitu kuna vitu vingine vya kulea mahusiano hapo ndio changamoto huanza kutokea;-
Kama ambavyo tukirejea katika tabia zake ni mtu wa shauku, mwenye kutaka kujieleza kimwili(sex) mwenye kutaka mambo kwa madai na mwenye wivu na tabia isiyobadirika.
Hali ya kuwa tabia yako wewe ni kigeugeu,mtu wa kuruka ruka,na wa mambo ya juu juu, na mwenye moyo mwepesi na pia mwenye sura mbili ni dalili ya kwanza tu inayoonyesha kutokuelewana kwenu kitabia.
Pili wewe unakuwa ni mtu wa kupenda mambo ya kijamii ikiwa ni pamoja na mitandao ya kijamii wakati yeye unakuta anapenda faragha. Hivyo hii huanza kupelekea yeye kuwa na mashaka kuhusu wewe na utaona kila mara anataka kukushakia vitu hata kama huna mpango navyo.

Haitachukua muda mrefu kwako kuchoshwa na kuhisiwa maovu na yeye ambacho ni kitu kinathibitisha kuwa haitachukua muda nyinyi kuachana.

SEHEMU YAKE YA HISIA;
Wote wenye asili ya maji ya moto sehemu zao za hisia wake kwa waume ni mitalimbo na uke nao hupenda sana kuchezea sehemu hizo na ni wenye umaarufu sana wa kujichua na punyeto.
Wanapokuwa bored zaidi huamua kuanza kuchezea tupu zao ndicho kitu wanapenda na kujikagua au kushika eneo hilo na katika asilimia 100% 20 tu ndio hawana matatizo eneo hilo.

Rakims
 
Hizi taarifa zangu huzioni mkuu?!..

"Mimi ni Me, naitwa N, nimezaliwa tarehe 22/12.

Yeye Ke, anaitwa J, amezaliwa tarehe 2/8"
 
Nijibu basi mm
Mimi 04/04, me herufi A
Yeye 18/12, ke herufi L

Ni wachumba
Wewe ni moto wa jaha na yeye ni moto wa nyasi ni watu mnaendana vizuri tu ya kuzingatia ni kwamba yeye na wewe nyote mna moto wenye kufanana kwa maana moto wa nyasi huwezi kuanza wenyewe na pia moto wa jaha huzuka tu na kuwaka wenyewe hivyo couple yenu ni nzuri ila ina vichekesho vingi.
Nyote wawili ni wenyhe kujituma na wenye kujishughulisha vema na wenye kupenda kuwa pamoja au kutoka pamoja na pia nyote wawili ni wenye kupenda raha au maisha mazuri na vilevile kutakuwa kati yenu kuna migogoro kwa sababu nyote ni wakali na wenye kupenda ukweli hivyo mabishano yatakuwepo na yakianza nyumba inakuwa kama kunawaka moto.
Ufanyaji wako wa tendo kwa vurugu kama unakimbizwa sio kila mara yeye atavumilia
Pia hata hivyo katika mna hisia za ajabu mkiwa pamoja hali ya ucheshi na kufurahia ushirika wa kila mmoja.
Ikiwa mtafanya tendo katika chumba cha kulala, basi mtaweza kufanya kila mahali pengine.

SEHEMU ZAKE ZA HISIA:
Sehemu zake kuu za hisia ni kwenye miguu na mapacha yake unaweza kurudi kwenye quotes za nyuma ukaona kuna mtu nimeshamuelezea

Rakims
 
Mkuu naomba nisaidie nimrudishe mwanamke aliyeniacha. Ila nampenda hadi sijielewi. Hapa nilikua nacheki picha zake kichwa kimepata moto hadi nasikia kizunguzungu. Nisaidie Asee
Ok naweza kukusaidia lakini kuna details utanitajika kutoa na baada ya hapo utalipia hiyo kazi sio bure.
 
Back
Top Bottom