BaelezeIdd Amini aliondolewa na Israel zingine ni propaganda ova
Wewe ulikuwa unapigisha disco pale Mbowe Hotels wakati ule!Mataga umejiaibisha
Wengi tu Mangula, Makongoro nk nkKwani kuna kiongozi wa sasa huko Lumumba aliyepigana?!
Huyo unayetaka kusingizia, enzi hizo alikuwa mtoto mdogo Burundi huko
Warishiriki kwa namna gani?Rungwe, prof. Safari, Maalim na wengine walikuwa na umri gani?
Tatizo mkitajiwa upinzani mnatazama chadema tu
Lissu, Zitto, Mbowe
Safi sana mkuu!27M za Mzungu zinakuhusu nini, na huyo Mzungu alitukopeshaje.
Nakukumbusha Rais alikataa msaada wa fedha alichowaeleza ni kwamba wao wapunguze deni wanalodai na siyo kutuletea msaada mwingine wowote. We won a battle in Jesus name and Mtume through prayer.
Endeleeni kuitafuta laana ambayo kumbukeni Mungu yupo pamoja na sisi.
TrueHuyo hana cha kusoma wala nini,alikuwa ni buffet attendant kwenye
Makongoro alikuwa mwanajeshi, Mangula umri ilimruhusu. Inaonekana umeishiwa hoja.Unawajua wajumbe wa CC ya CCM mh Makongoro na mh Mangula?
Uzalendo umejengwa juu ya misingi.
SijuiWarishiriki kwa namna gani?
Freeman alikuwa pale hotelini kwa baba yake na akina Saydoo!Wakati wa hivyo vita Mbowe alikuwa na miaka 20 na alikuwa mwanafunzi, Lisu miaka 12, na Zito miaka mitano.
Huu unabii wa uongo peleka Lumumba watakusikiliza.27M za Mzungu zinakuhusu nini, na huyo Mzungu alitukopeshaje.
Nakukumbusha Rais alikataa msaada wa fedha alichowaeleza ni kwamba wao wapunguze deni wanalodai na siyo kutuletea msaada mwingine wowote. We won a battle in Jesus name and Mtume through prayer.
Endeleeni kuitafuta laana ambayo kumbukeni Mungu yupo pamoja na sisi.
Maalim, Safari, Rungwe, Mtei nk?Wakati wa hivyo vita Mbowe alikuwa na miaka 20 na alikuwa mwanafunzi, Lisu miaka 12, na Zito miaka mitano.
27M za Mzungu zinakuhusu nini, na huyo Mzungu alitukopeshaje.
Nakukumbusha Rais alikataa msaada wa fedha alichowaeleza ni kwamba wao wapunguze deni wanalodai na siyo kutuletea msaada mwingine wowote. We won a battle in Jesus name and Mtume through prayer.
Endeleeni kuitafuta laana ambayo kumbukeni Mungu yupo pamoja na sisi.
Nilikuwa nakukumbusha tu kuhusu misingi ya uzalendo.Makongoro alikuwa mwanajeshi, Mangula umri ilimruhusu. Inaonekana umeishiwa hoja.
Maalim, Safari, Rungwe, Mtei nk?
Kabudi anawapa wazungu darasa la bure kadhalika mwanafunzi wake Tundu Lisu!Kama hajachukua hela Kabudi analia nini kudhalilishwa kwa sababu ya pesa?
Kamasy kabisa!! Polepole, magufuli, Kabudi walipigana??? Uchafu huu pelekea LumumbaKwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Sasa kama kupigana vita ya kagera humfanya mtu kuwa kiongozi bora sana kwa nini viongozi wote wa CCM wasiwe watu waliopigana vita ya Kagera peke yake?Uzalendo ni moja sifa ya kuwa kiongozi bora, mtu kujitoa kwa taifa lake ni uzalendo.
Ndio hao waliokosa uzalendo walipofuatwa wajiunge na jeshi la mgambo wao walikimbilia migombani upande wa Kenya kujificha!Hivyo vita watanzania wote walienda? Baba yangu mbona hakwenda kwenye hivyo vita na alikuwa 30+ by then?