Nitajie viongizi watatu tu wa Upinzani waliopigana vita ya Kagera kwa namna yoyote ile ukimuondoa mzee Mrema!

Nitajie viongizi watatu tu wa Upinzani waliopigana vita ya Kagera kwa namna yoyote ile ukimuondoa mzee Mrema!

27M za Mzungu zinakuhusu nini, na huyo Mzungu alitukopeshaje.
Nakukumbusha Rais alikataa msaada wa fedha alichowaeleza ni kwamba wao wapunguze deni wanalodai na siyo kutuletea msaada mwingine wowote. We won a battle in Jesus name and Mtume through prayer.
Endeleeni kuitafuta laana ambayo kumbukeni Mungu yupo pamoja na sisi.
Safi sana mkuu!
 
Huu unabii wa uongo peleka Lumumba watakusikiliza.
 
27M za Mzungu zinakuhusu nini, na huyo Mzungu alitukopeshaje.
Nakukumbusha Rais alikataa msaada wa fedha alichowaeleza ni kwamba wao wapunguze deni wanalodai na siyo kutuletea msaada mwingine wowote. We won a battle in Jesus name and Mtume through prayer.
Endeleeni kuitafuta laana ambayo kumbukeni Mungu yupo pamoja na sisi.

Kama hajachukua hela Kabudi analia nini kudhalilishwa kwa sababu ya pesa? Muombeni huyo Mungu wenu amalize na ukimwi.
 
Hebu niambie hiyo vita ya Kagera imetusaidia nini kama sio kutuletea umasikini na magonjwa.
Jiulize ukimwi uliingia bongo mwaka gani na ulitokea wapi kama sio hiyo vita kuchangia ukimwi kusambaa Tanzania nzima ili hili mpaka kesho hawata kubali.
Vita hii ilileta hasara kubwa katika uchumi wa Tz na kusababisha kuzaliwa kwa watoto wasio kuwa na baba huko Uganda kwa kubaka wanawake wa watu.
Kwanza hii vitu ilikuwa haituhusu na wala chanzo cha hiyo vita ni sisi wenyewe choko choko zetu. Sio kama inavyosemwa kuwa Iddi Amini alituanza ugomvi.
Haya angalia kilicho kuja kutokea mmemtoa Iddi Amini mkamuweka Obote kaponduliwa na M7 ndo nini sasa.
Ukiona mtu ana shadadia vita ya Kagera akili hana
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.

Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.

Uzalendo umejengwa katika misingi.

Maendeleo hayana vyama!

cc : mmawia wa Ufipa st.
Kamasy kabisa!! Polepole, magufuli, Kabudi walipigana??? Uchafu huu pelekea Lumumba
 
Hivyo vita watanzania wote walienda? Baba yangu mbona hakwenda kwenye hivyo vita na alikuwa 30+ by then?
Ndio hao waliokosa uzalendo walipofuatwa wajiunge na jeshi la mgambo wao walikimbilia migombani upande wa Kenya kujificha!
 
Back
Top Bottom