Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Ni viongozi wangapi wa CCM waliopiga hiyo vita? anza na CCM kwanzaKwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Vita nayo ni sifa za CCMKwenda tu vitani hizo ni akili za kiccm ccm
Upinzani ungekuwa unatawala kusingekuwa na vita ya Uganda
Tungekutajia tatizo umeshawaondoa.Hata CCM ukiondoa wale waliopigana Vita ya Kagera sidhani Kama utapata waliopigana Vita ya KageraKwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
27M za Mzungu zinakuhusu nini, na huyo Mzungu alitukopeshaje.
Nakukumbusha Rais alikataa msaada wa fedha alichowaeleza ni kwamba wao wapunguze deni wanalodai na siyo kutuletea msaada mwingine wowote. We won a battle in Jesus name and Mtume through prayer.
Endeleeni kuitafuta laana ambayo kumbukeni Mungu yupo pamoja na sisi.
Kabudi alikuwa mwanapropaganda wakati huo. Mwandishi wa habari.Kabudi alikuwepo vitani!
Acha kufikiri kufupi. Mtu yeyote aliekuwa mtu mzima wa kupigana vita vya Kagera wakati huo kwa sasa ni mzee sana au alishakufa.Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Ameandika thread ya kipumbavu sana, nashangaa imepata comments nyingi hivi. Shule kweli mali.Acha utoto dogo, vita ya Uganda ilipiganwa miaka 40 iliyopita, mtu aliyekuwa mdogo sana kama alienda kwenye vita hiyo alikuwa na miaka 20 wakati huo ambao kwa sasa atakuwa na miaka 60+, je ni kiongozi gani wa upinzani saa hivi mwenye miaka 60, ambaye wakati alikuwa mwanajeshi, au hakuwa shule hivyo alistahili kwenda kwenye hivyo vita? Mmeshindwa kutupa mrejesho wa €27m za mzungu saa hii mnaleta mada za uzalendo uchwara.
Mambo mengine Ujinga tu, hivi unataka Mnyika aliyezaliwa 1980s awe na historia ya kupigana Vita vya Kagera?Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Ama kweli Tanzania wamejaa mambumbu kama wewe.Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Maalim na Rungwe- walikuwa mwanaCCM kindakindakiMaalim, Safari, Rungwe, Mtei nk?