Nitajie viongizi watatu tu wa Upinzani waliopigana vita ya Kagera kwa namna yoyote ile ukimuondoa mzee Mrema!

Nitajie viongizi watatu tu wa Upinzani waliopigana vita ya Kagera kwa namna yoyote ile ukimuondoa mzee Mrema!

Hussein Mwinyi rais wa Zanzibar alikacha kwenda JKT kwa mujibu wa sheria.
Kwa hiyo na yeye sio mzalendo?.
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.

Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.

Uzalendo umejengwa katika misingi.

Maendeleo hayana vyama!

cc : mmawia wa Ufipa st.
Ni viongozi wangapi wa CCM waliopiga hiyo vita? anza na CCM kwanza
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.

Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.

Uzalendo umejengwa katika misingi.

Maendeleo hayana vyama!

cc : mmawia wa Ufipa st.
Tungekutajia tatizo umeshawaondoa.Hata CCM ukiondoa wale waliopigana Vita ya Kagera sidhani Kama utapata waliopigana Vita ya Kagera
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.

Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.

Uzalendo umejengwa katika misingi.

Maendeleo hayana vyama!

cc : mmawia wa Ufipa st.

Ndege john umekula maharage ya wapi.
Kupingana sio moja ya ticket za uzalendo,
 
27M za Mzungu zinakuhusu nini, na huyo Mzungu alitukopeshaje.
Nakukumbusha Rais alikataa msaada wa fedha alichowaeleza ni kwamba wao wapunguze deni wanalodai na siyo kutuletea msaada mwingine wowote. We won a battle in Jesus name and Mtume through prayer.
Endeleeni kuitafuta laana ambayo kumbukeni Mungu yupo pamoja na sisi.

Mungu uwalaani wasiotenda haki
 
ohoo ohooo nyie ma CCM tena msijaribu kabisa kuchoza vita nyingine, for sure nyie ndiyo mtakua wa kwanza kukimbia na kuiacha nchi ikichakazwa, mwishoni sisi vijana ( nadhan mnaelewa vijana tuko chama lipi) ndiyo tutakao iokoa nchi kama ilivyo kuwa 1978 -1979...
 
Vita ya kujitakia...Amin alimpindua Obote rafiki wa Nyerere...akafichwa Oyster bay...Nyerere akakataa kumtambua Amin kama raisi wa Uganda...Chokochoko vita ikaanza...Tulikuwa na uchumi bora sana 70s sawa na nchi nyingi za Asia...vita ikaharibu kila kitu
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.

Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.

Uzalendo umejengwa katika misingi.

Maendeleo hayana vyama!

cc : mmawia wa Ufipa st.
Acha kufikiri kufupi. Mtu yeyote aliekuwa mtu mzima wa kupigana vita vya Kagera wakati huo kwa sasa ni mzee sana au alishakufa.

Uliza Tulia kazaliwa mwaka gani na vita vya Kagera vilikuwa mwaka gani, labda utapata akili angalau ya kuweka post JF
 
Acha utoto dogo, vita ya Uganda ilipiganwa miaka 40 iliyopita, mtu aliyekuwa mdogo sana kama alienda kwenye vita hiyo alikuwa na miaka 20 wakati huo ambao kwa sasa atakuwa na miaka 60+, je ni kiongozi gani wa upinzani saa hivi mwenye miaka 60, ambaye wakati alikuwa mwanajeshi, au hakuwa shule hivyo alistahili kwenda kwenye hivyo vita? Mmeshindwa kutupa mrejesho wa €27m za mzungu saa hii mnaleta mada za uzalendo uchwara.
Ameandika thread ya kipumbavu sana, nashangaa imepata comments nyingi hivi. Shule kweli mali.
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.

Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.

Uzalendo umejengwa katika misingi.

Maendeleo hayana vyama!

cc : mmawia wa Ufipa st.
Mambo mengine Ujinga tu, hivi unataka Mnyika aliyezaliwa 1980s awe na historia ya kupigana Vita vya Kagera?
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.

Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.

Uzalendo umejengwa katika misingi.

Maendeleo hayana vyama!

cc : mmawia wa Ufipa st.
Ama kweli Tanzania wamejaa mambumbu kama wewe.
 
Maalim, Safari, Rungwe, Mtei nk?
Maalim na Rungwe- walikuwa mwanaCCM kindakindaki
Mtei - alikuwa Waziri wa Fedha

Ingawa mtoa post anaonyesha Kama Ni kigezo Cha Uzalendo Basi miaka yetu sie hakuna wazalendo tena sijui tusubirie vita
 
Back
Top Bottom