johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #81
Hao hawahusiki!Kuna wengine walikuwa hawajazaliwa. Hawa nao tunawaweka kundi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao hawahusiki!Kuna wengine walikuwa hawajazaliwa. Hawa nao tunawaweka kundi gani?
Kwa hiyo kizazi cha walioshiriki moja kwa moja kikimalizika itabidi tuanzishe tena vita nyingine? Kuna mataifa hawajawahi kupigana vita vizazi na vizazi. Je hawana uongozi ktk mataifa hayo?Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Nyumba za umma za Tanzania ziliuzwa kwa mahawala na waliopigana vita wakiongozwa na chizi wa taifaKwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Mbowe alikuwa anatoroka usiku kwenda vitani asubuhi anarudi shuleni huku kachokaaaa.Wakati wa hivyo vita Mbowe alikuwa na miaka 20 na alikuwa mwanafunzi, Lisu miaka 12, na Zito miaka mitano.
Bhuluba wacha utani bwana, we si kiongozi....nakujuwa vizuri tu.Na Mimi
Hivi kwenye CCM kuna aliyepigana vita ya Majimaji?Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Mbowe alikuwa anatoroka usiku kwenda vitani asubuhi anarudi shuleni huku kachokaaaa.
Mliziomba wenyewe, tena inavyoonekana mtumbua macho ndio alikuwa kiti cha mbele27M za Mzungu zinakuhusu nini, na huyo Mzungu alitukopeshaje.
Nakukumbusha Rais alikataa msaada wa fedha alichowaeleza ni kwamba wao wapunguze deni wanalodai na siyo kutuletea msaada mwingine wowote. We won a battle in Jesus name and Mtume through prayer.
Endeleeni kuitafuta laana ambayo kumbukeni Mungu yupo pamoja na sisi.
Hujaelewa swali bwashee!Kwa hiyo kizazi cha walioshiriki moja kwa moja kikimalizika itabidi tuanzishe tena vita nyingine? Kuna mataifa hawajawahi kupigana vita vizazi na vizazi. Je hawana uongozi ktk mataifa hayo?
Kwani Chadema yuko Mbowe peke yake?Utoto at work.
Ndiyo alikuwa mtoto badoUtoto at work.
Darasa? Lipi?Kabudi anawapa wazungu darasa la bure kadhalika mwanafunzi wake Tundu Lisu!
Swali lako limekaa vibaya, bora lingekuwa utajiwe viongozi gani wa sasa walioshiriki kumng'oa Idd Amin! Ni karibu miaka 40 sasa tangu ile vita iishe, kweli unategemea viongozi (upinzani au utawala) wawemo kwenye hio orodha, hawa walikuwa watoto wakati wa vita! Trash huu uzi!Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Wapo wengi tu bwashee!Swali lako limekaa vibaya, bora lingekuwa utajiwe viongozi gani wa sasa walioshiriki kumng'oa Idd Amin! Ni karibu miaka 40 sasa tangu ile vita iishe, kweli unategemea viongozi (upinzani au utawala) wawemo kwenye hio orodha, hawa walikuwa watoto wakati wa vita! Trash huu uzi!
Nimesema watatu tu!Kuna wengine walikuwa hawajazaliwa. Hawa nao tunawaweka kundi gani?
Wote waliokuwa wameisha fikisha umri wa miaka 18 wakati huo walipigana vita wengine walitumia muda mwingi kuzalisha chakula naduwa ili jeshi letu lipate ushindi kupigana vita sio mpaka ubebe bunduki wengine walipigana kwakuliunga mkono jeshi na kulinda nyumba zaoKwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Aisee, huyu naye anataka watu wapoteze muda kumjibu!!!! Vita vya Kagera unajua vilikuwa mwaka gani? Unajua vyama vingi vilianzishwa/kurudi mwaka gani? Ukijibu hayo maswali mawili, sasa nijibu na hili: Mwaka huo (wa vita) Zitto, Lissu, Mbatia etc walikuwa na uwezo wa kuingia vitani kwa umri waliokuwa nao???? Makaburasha mkubwa wewe!!!!!!!Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Kupigana sio kuvaa uniform za jeshi na kwenda vitani, mm nimepigana vita ya kagera but kazi yangu ilikuwa ni kufanya kazi ya Hao wanaovaa uniform iwe rahisi zaidiKwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.