dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Jj okocha
Baba yaro na baba ngida
Baba yaro na baba ngida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa na miawani zake alifanya mpira wa miguu uonekane mchezo rahisi...Edgar's david wa Netherlands
Hahahahaha1.. Lothar Matheus
2. Marc Vivien Foe
3. Zinedine Zidane
Kumbe popoma upo1.. Lothar Matheus
2. Marc Vivien Foe
3. Zinedine Zidane
Haha golikipa Petr Cech anaifahamu shughuli ya David Beckham1. Said Maulid SMG alinifanya nikaipenda Yanga 2000
2. Thiery Henry, nikawa shabiki wa Arsenal 2004
3. Kama sio Henry, huenda ningekuwa shabiki wa Man U sababu ya Beckam, ila akanipeleka Madrid.
Beckam ndio sababu mpaka leo napenda mipira ya free kick.
Na mimi nikajifunza kupiga kama yeye, siku moja kwenye michezo shuleni sekondari wakati wa mazoezi mwalimu akatenga mpira akaniambia nipige, alishika kichwa hakuamini!Haha golikipa Petr Cech anaifahamu shughuli ya David Beckham
Samata Huyu butu wa afrikon au yule wa TP MAZEMBE NA GENKHapa Bongo Mbwana Samatta ila kwa Ulaya Lionel Messi
Kuna mdada wa kuitwa Catherine umenikumbusha tumecheza nae sana sanaaa alikua na huwezi mkubwa sanaa uwanjani😀😊😊Na mimi nikajifunza kupiga kama yeye, siku moja kwenye michezo shuleni sekondari wakati wa mazoezi mwalimu akatenga mpira akaniambia nipige, alishika kichwa hakuamini!
Aliniambia “Nifah, hata wavulana kwenye kikosi chetu hawapigi hivi. Kwanini hukuwa mwanaume?, hiki ni kipaji” Heheee