Nitajiie baahi ya Maneno ya wanasiasa yanayokukera!

Nitajiie baahi ya Maneno ya wanasiasa yanayokukera!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Aiseee....Mimi nachukizwa na neno kwa sasa tupo katika mchakato,au hili neno Vijana inabidi mkajiajiri msisubiri ajira serikalini!!
Haya ni maneno yanayoumiza moyo wangu kwani ni maneno yasiyokuwa na akiba ya huruma kwa vijana pia kwa wapiga kura!Ongezea na wewe!
 
Mama anaupiga mwingi.

Pale mtu anapoanza speech anaanza na ''napenda kumpongeza mh. rice blah blah blah''

Mwingine anatoa specch ''..rice amejenga zahanati, amejenga barabara blah blah blah''

Ni ujinga wa raia tu ila ilitakiwa mtu akianza hivyo anyang'anywe mike na kupigwa mawe.
 
Back
Top Bottom