Nitajiie baahi ya Maneno ya wanasiasa yanayokukera!

1."Mheshimiwa Raisi anafanya kazi kubwa sana"

2" Mamá amaetoa fedha kuwajengea barabara "

3"Kizmkazi"
 
Kwenye kiapo wanamhusisha Mungu kwa kusema "ewe Mwenyezi Mungu nisaidie", halafu kwenye utendaji wao wanafanya madudu ovyo sana wanasiasa
 
"Tanzania sio ya kwanza,hata huko kwa wenzetu nchi za Ulaya wanatumia utaratibu huu.."
Ukisikia kauli kama hii ujue tunaenda kupigwa😀😀
 
Unasikia mwanasiasa au msomi tz anakisifia kiswahili

Oooh hii ni lugha kubwa inawavutia watu wengi duniani

Serikali ina mpango wa kuzalisha walimu wa kiswahili wa kutosha ili kukidhi mahitaj ya kimataifa,utazani hakuna walimu kweli,wakat vijana wapo tu mtaan

Afu hao hao wajinga kwenye ajira unakuta wanakupgisha interview kwa kiingereza ila hii nchi ina wanafiki wakubwa,naomba mungu angeshusha moto atuangamize tu
 
Kama hamtaki nendeni Burundi!
 
Wacha waisome namba eeh,waisome nambaaa,ccm mbele kwa mbele,eeeh mbele kwa mbele,waacheni waandamane eeh ccm mbele kwa mbele
HUU WIMBO UNANIUDHI SANA
 
Wanasiasa wa chama tawala utasikia wanasema vijana hacheni kutumiwa na wanasiasa ila ndio wakwanza kuwatumia vijana wetu kuwadhuru wenzao.
 
samia must go 🐒
 
Kuna ule msemo;
01. ......anaupiga mwingi.
02. Nipende kumshukuru mheshimiwa ......!
🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…