Nitajuaje kama mpenzi wangu alitoa mimba

Nitajuaje kama mpenzi wangu alitoa mimba

eskobas2016

Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
71
Reaction score
31
Natumai mko wazima wote, jamani hapa kidogo nimetatizwa jinsi ya kujua kama mpenzi wangu ametoa mimba wiki tatu zilizopita kwani jinsi anavyo behave kidogo simuelewi na utaalamu huo wa kujua kama ametoa ama la sina je nitajuaje?
 
Mkuu ,,, kama hukuwah kumpa mimba huko nyuma nampaka anaondoma masomon hakuwahi kupata mimba ,,,,,, naomba uangalie ule mstari wa uzazi kama upo?? Huwa unaanzia eneo LA nywele za chin nakupanda kufuata kitovu ,,

N.b , wengine huwa nao toka wamezaliwa ,lkn akishapata mimba tu unakolea zaidi .

N.b wengi huwa hawana huo mstari na akishapata mimba tu ndo unaanza kutokeza .alafu siumuangalie usoni tuu . yaan mschana wako ushindwe kujua mabadiliko yake yamwili ??
Mkuu unazengua sema pole sana .

Jaribu izo hints
 
Kama ulimpa ww ndio utajua la sivyo ww endelea kufurahi nae maisha tu mambo ya kuanza kumsuku mpnz wako kwny vitu vibaya havitakusaidia kitu
 
Mkuu nini lengo lako baada ya kujua kama katoa au la? Huenda Mimba kapewa na mtu mwingine akaona asikupe taabu akachomoa... Au hujiamini kama unaaeza mpa mimba.. Ushauri wa mstari uko poa japo mara nyi huonekana kama mimba ipo zaidi ya miezi mitatu
 
napenda kujua tu then nitapata maamuzi baada ya kujua ila mstari nimeshacheki na hana na nimekwenda kucheki hospital hana mimba ila ninachotaka kujua je alitoa kwani yeye anadai hakuwai kutana na mtu yeyote
 
Basi tufanye ivi mkuu assume km nisehem yatatizo ,,kinyume nahapo utajikuta unaumia sana alafu kumuacha huwezi .....acha upepo upite !! Nafsi yake itamsuta.
 
napenda kujua tu then nitapata maamuzi baada ya kujua ila mstari nimeshacheki na hana na nimekwenda kucheki hospital hana mimba ila ninachotaka kujua je alitoa kwani yeye anadai hakuwai kutana na mtu yeyote
Kilichokupa wasi wasi ni nini mkuu? Unahisi ulimpa mimba au unawaza kama alishawahi kutoa hapo zamani
 
hasante mkuu kwa ushauri ila ukweli inauma sana na inaondoa uaminifu wote
Acha ubnafsi mtoto Wa kiume,unataka papuchi uifurahie peke yako tu, hawa wameumbwa kwa ajili ya wanaume wenye uhitaji Wa kukonga nyoyo zao...anyway, je na wewe hujawahi kuwa na mwanamke? Lakini pia msichana kuwa na dume na kupata mimba ni vitu viwili tofauti( anaweza kuwa na njemba zaidi ya moja na asiwe na mimba,kwa wasomi sometime mimba ni maamuzi tu kupata). Je,hoja yako hasa ni ipi unataka kujua aliwahi kuwa na njemba ...if so ulimkuta bikra? Au unataka kujua kama alishawahi toa mimba, angalia mstari kama koment ya hapo juu,otherwise achana na hizo fikra na usipende kufkiria hzo mambo pia.
 
hasante mkuu kwa ushauri ila ukweli inauma sana na inaondoa uaminifu wote
Yaaah nikweli inapunguza uaminifu lkn mkuu believe me ukitaka unufaike na maisha kuna baadhi ya maumiv nikazima uwe nanguvu ya kusahau ,,, kwasababu bado upo in coma nahujui kipi kipi ,, just puuza alafu we mwonyeshe unampenda sanaaaaaa nahuna tena wasiwasi juu yake ,utaona atakavyojistukia na namna hata yakukujali itaongezeka Mara dufu !!

Wenzako wanwake wao wanawakimbia tena nameseji juuu "" naenda kuolewa "" lkn mwezi mmoja tu huyoooo ,, wengine wanarudi namitatuuu juuu lkn bado jamaa wanawapokea ,,

BTW brooo nimwanamme jasiri sana na anayejua nn maana ya mahusiano ktk maisha ndio hufaulu kuishi maisha yenye furaha ,,, .

Mie nakuomba acha kabisa kuongelea tena masuala km haya maana yanakupa ubize usokua nafaida nasansana unajiumiza tuu kila unavyoongea ndivo unaumia.

Mbembeleze mwende hospital mkachek hata na usalama wa kizazi so long as hana HIV aaahhhh kula maisha mkuu . hope ulikua unamsubiria sababu unampenda ika km ulimsubiri simply kwakua mpenzi wako yuko nje kimasomo then wote niwazenguaji !!..
Out of there ,,,endelezen maisha.
 
mara nyingi wakitoa mimba kichwa au kiwiwili huwa kinabaki ebu angalia kama kama kimoja wapo kipo.
 
Google linea nigra. Kama alishazaa au alishawahi kutoa mimba huu mstari huwa haufutiki. Google
 
Yaaah nikweli inapunguza uaminifu lkn mkuu believe me ukitaka unufaike na maisha kuna baadhi ya maumiv nikazima uwe nanguvu ya kusahau ,,, kwasababu bado upo in coma nahujui kipi kipi ,, just puuza alafu we mwonyeshe unampenda sanaaaaaa nahuna tena wasiwasi juu yake ,utaona atakavyojistukia na namna hata yakukujali itaongezeka Mara dufu !!

Wenzako wanwake wao wanawakimbia tena nameseji juuu "" naenda kuolewa "" lkn mwezi mmoja tu huyoooo ,, wengine wanarudi namitatuuu juuu lkn bado jamaa wanawapokea ,,

BTW brooo nimwanamme jasiri sana na anayejua nn maana ya mahusiano ktk maisha ndio hufaulu kuishi maisha yenye furaha ,,, .

Mie nakuomba acha kabisa kuongelea tena masuala km haya maana yanakupa ubize usokua nafaida nasansana unajiumiza tuu kila unavyoongea ndivo unaumia.

Mbembeleze mwende hospital mkachek hata na usalama wa kizazi so long as hana HIV aaahhhh kula maisha mkuu . hope ulikua unamsubiria sababu unampenda ika km ulimsubiri simply kwakua mpenzi wako yuko nje kimasomo then wote niwazenguaji !!..
Out of there ,,,endelezen maisha.
hasante sana kaka kwa ushauri, yaani kwa hizi siku mbili sikuongelea lolote kuhusu hayo mambo na naona mara naoshwa miguu mara aniulize kama nataka scrub ya uso, ila ukweli bado moyoni naumia na nataka kujua ukweli
 
  • Thanks
Reactions: EGF
hasante sana kaka kwa ushauri, yaani kwa hizi siku mbili sikuongelea lolote kuhusu hayo mambo na naona mara naoshwa miguu mara aniulize kama nataka scrub ya uso, ila ukweli bado moyoni naumia na nataka kujua ukweli
I swear believe me kijana , the girl loves you soo much ,,na ukumbuke we can't be perfect and always nobody will be perfect ,,,, Acha kabisa kuchokonoa chokonoa ,,, anzia hapo ulipomkuta ,, solong nimzm wa afya !!.

Utaenjoy sana ..hawa watu akili zao ni rahisi sana,, hata kama amesoma na kua prof akili zao zinbaki kua rahis tu ,, niwatu wanaobalika kiurahisi kutokana na mazingira ,,, note that ,," huwa wanataka peace of mind " sasa ukiendelea kumfokonyoa sanaaa utampa karaha ,,atajihisi MTU alofanys dhambi kubwa ,,naatajihisi hakufahi kabisaa ,, km asipokuambia ,, "naomba nikuache utafute anayekufa kwasababu Mimi nmekukosea "" itakua nibahati ,,, alafu akiondoka kaondoka ,,nambaya zaidi ,,hata ukificha , ukweli nikwamba Huyo mwanamke ndio unampenda kweli kweli !!.

shuhuda ,,, my brother X nimfanya biashara ambaye amekua anaenda nchi mbali mbali ,, siku moja akarudi bila taarifa ,,,akamfuma mkewe nabwana mwingine kitandani ( naposema mkewe kweli ujue nimwanamke ,,ebwana yule Shem Wangu nimatata ,, amejaaa sanaa,,Amegawanyika sana ,, sura nikioo ,,miguu ,,ukichanganya na mzigo nishidaa ) ,,, Broo aliamua kutoa mututu katisha tisha weeee ,,yule njemba kasepa ,, jamaa kabaki na mke wake ,,, aaaaahhhh kwan aliendelea kushika mututy ?????? Nooooo.

Ila walizungumza na kuanzia iyo siku haikuwah rudia iko kitu ,,nasasa ivi wanalea watoto wao 5 .namaisha nisafi namuruaaa
 
"....kwani jinsi anavyo behave kidogo simuelewi na utaalamu huo wa kujua kama ametoa ama la sina je nitajuaje?

anabehave vipi na umejuaje ametoa mimba wiki 3 zilizopita??
 
Back
Top Bottom