hasante sana kaka kwa ushauri, yaani kwa hizi siku mbili sikuongelea lolote kuhusu hayo mambo na naona mara naoshwa miguu mara aniulize kama nataka scrub ya uso, ila ukweli bado moyoni naumia na nataka kujua ukweli
I swear believe me kijana , the girl loves you soo much ,,na ukumbuke we can't be perfect and always nobody will be perfect ,,,, Acha kabisa kuchokonoa chokonoa ,,, anzia hapo ulipomkuta ,, solong nimzm wa afya !!.
Utaenjoy sana ..hawa watu akili zao ni rahisi sana,, hata kama amesoma na kua prof akili zao zinbaki kua rahis tu ,, niwatu wanaobalika kiurahisi kutokana na mazingira ,,, note that ,," huwa wanataka peace of mind " sasa ukiendelea kumfokonyoa sanaaa utampa karaha ,,atajihisi MTU alofanys dhambi kubwa ,,naatajihisi hakufahi kabisaa ,, km asipokuambia ,, "naomba nikuache utafute anayekufa kwasababu Mimi nmekukosea "" itakua nibahati ,,, alafu akiondoka kaondoka ,,nambaya zaidi ,,hata ukificha , ukweli nikwamba Huyo mwanamke ndio unampenda kweli kweli !!.
shuhuda ,,, my brother X nimfanya biashara ambaye amekua anaenda nchi mbali mbali ,, siku moja akarudi bila taarifa ,,,akamfuma mkewe nabwana mwingine kitandani ( naposema mkewe kweli ujue nimwanamke ,,ebwana yule Shem Wangu nimatata ,, amejaaa sanaa,,Amegawanyika sana ,, sura nikioo ,,miguu ,,ukichanganya na mzigo nishidaa ) ,,, Broo aliamua kutoa mututu katisha tisha weeee ,,yule njemba kasepa ,, jamaa kabaki na mke wake ,,, aaaaahhhh kwan aliendelea kushika mututy ?????? Nooooo.
Ila walizungumza na kuanzia iyo siku haikuwah rudia iko kitu ,,nasasa ivi wanalea watoto wao 5 .namaisha nisafi namuruaaa