BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
Ndg, mimi ni mtumishi wa Umma kwenye taasisi nyeti hapa Dar, hata hivyo juzi nilipigiwa simu na mtu aliejitambulisha yupo Dodoma. Akinitaka nifike ofisini kwao kesho kutwa yake kwa ajili ya mahojiano, nikakubali ila baadae nikamwambia naomba anitumie barua ya wito kupitia kwa mwajiri wangu, akakubali.
Hata hivyo hakutuma hadi jana asubuhi nikampigia akaniambia nipo mahakamni kwa sauti ndogo, jioni nikamtumia text vipi mbona barua haijafika, akasema nipe muda kidogo.
Sasa leo muda wote nampigia simu hapatikani tena, sasa nataka kuthibitisha kama ni kweli PCCB au wamachinga wameanza usumbufu..