nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Wachana na mambo ya yeye kutoshekaMara nyingi nikimaliza sijui kama yeye anakua pia tayarii msaada.
Ticha anafeli wapi...ticha unazingua...
Una umri gani?? Akimwaga kojo ni lazima atapitiwa na usingizi wa ghafla na dalili nyingine kibao ambazo watu wazima tunazijuaMara nyingi nikimaliza sijui kama yeye anakua pia tayarii msaada.
Mara nyingi nikimaliza sijui kama yeye anakua pia tayarii msaada.
Mkuu umenena ukweli na kweli tupu.Kama ukimaliza anaanza kukumbusha ada hela za Kikoba na namna huwajali ndugu zake endelea kuichapa
Ukiona anakuuliza kama akuwekee maji ya kuoga au anaanza kukutania hapo umefanya kazi poa
Pamoja mkuu elimu Haina mwishoMkuu umenena ukweli na kweli tupu.
Hakika 😅Pamoja mkuu elimu Haina mwisho
Toa uzoefu wako mkuu, hakika kuuliza sio ujinga.Kuuliza si ujinga!
Wanakuja wazoefu wa hizo kazi!
Yote haya yamesababishwa na chama tawala aiseee.....☹️Mara nyingi nikimaliza sijui kama yeye anakua pia tayarii msaada.