Kumtosheleza mwanamke ni kazi ya watu wasio na Hela! Sisi vipopa ni bao moja la ushindi tu hujatosheka tumia hiyo midoli.Jifunze kumtosheleza mkeo kama Mungu kakupa utimamu wa mwili!
🤣🤣🤣🤣 Yeye muhimu kakojowaa suala mke kutosheka au kufika kileleni is none of his businessmzabzab mpe experience mkuu
Upo sahihi mwanau e ukishapiga viwili vya afya unalala zakoKumtosheleza mwanamke ni kazi ya watu wasio na Hela! Sisi vipopa ni bao moja la ushindi tu hujatosheka tumia hiyo midoli.
Ashafunga kurasa ndio anajiuliza, unatakiwa uone, wewe kuridhika sio ishu.Anataka ajue kama kamridhisha kabla hajafunga ukurasa!
Sana.Upo sahihi mwanau e ukishapiga viwili vya afya unalala zako
Una matatizo weweMara nyingi nikimaliza sijui kama yeye anakua pia tayarii msaada.