Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 933
- 1,912
Hivi mpaka leo watu wanatongozana.? mkubalie tu
Dah..!Jamani this is my very silly question, nisije nikawa natongozwa na katoto ka miaka ya elfu mbili mie...
In this age of artificial intelligence we have to be more than smart.
anzia hapo ‘halafu rasta zako …..’ kisha penye nyeusi weka ‘nyeupe’, walaqhi nimehisi umenisema mimi sahii,Hujambo Nazjaz
Kuna kitu cha kipekee sana kwenye namna unavyochangia mada—unanena kwa ujasiri, hoja zako ziko wazi na zina nguvu, ila bado zinabeba ile ladha ya utu na ucheshi. Hii ni aina ya akili na haiba inayovutia.
Halafu rasta zako zenye mpangilio mzuri, rangi yako nyeusi inayong’aa, mashavu yako manene yanayoleta tabasamu la kupendeza, na miwani yako inayotoa vibe ya mtu anayeweza kulinda siri za taifa 😅—haya yote yanafanya mtu aone kama anasoma riwaya nzuri kila akikuangalia.
Ni bahati kupata mtu ambaye akili na urembo vinatembea sambamba
Naona tayari..🤣🤣😅 Zama inbox.anzia hapo ‘halafu rasta zako …..’ kisha penye nyeusi weka ‘nyeupe’, walaqhi nimehisi umenisema mimi sahii,
maana nipo na rasta, na miwani yangu na nimesoma nikatabasamu..!😂😂
hapana mkuu wangu..Naona tayari..🤣🤣😅 Zama inbox.
Hapana mkuu yalinikuta pia🤣🤣
Ila wanawake bwana , kama hautongozwi vizuri unamdharu , ukitongozww vizuri unasema ni roboti.
Nyie viumbe ni mnahitaji rocket science kueleweka