Nitajuaje mwanaume anayenitongoza anatumia akili yake au ndio unatumia akili mnemba Chat GPT?

Jamani this is my very silly question, nisije nikawa natongozwa na katoto ka miaka ya elfu mbili mie...

In this age of artificial intelligence we have to be more than smart.
Dah..!
Mshangazi kama mshangazi katika ubora wako.
Kutongozwa na hao madogo sio issue kubwa, kibaya ni kutoa ndude kwa hao watoto, utajishushia heshima yako.

Hao hawanaga siri, furaha yao ni kutangaza kwa age mate kwamba amekulamba.
 
anzia hapo ‘halafu rasta zako …..’ kisha penye nyeusi weka ‘nyeupe’, walaqhi nimehisi umenisema mimi sahii,

maana nipo na rasta, na miwani yangu na nimesoma nikatabasamu..!😂😂
 
Atumie akili kutafuta UTI badala ya pesa? Hata wewe inakuingia akilini?
 
anzia hapo ‘halafu rasta zako …..’ kisha penye nyeusi weka ‘nyeupe’, walaqhi nimehisi umenisema mimi sahii,

maana nipo na rasta, na miwani yangu na nimesoma nikatabasamu..!😂😂
Naona tayari..🤣🤣😅 Zama inbox.
 
🤣🤣

Ila wanawake bwana , kama hautongozwi vizuri unamdharu , ukitongozww vizuri unasema ni roboti.

Nyie viumbe ni mnahitaji rocket science kueleweka
Hapana mkuu yalinikuta pia

Mtu kanitumia phrase taaamu ndefu nzuri
Ila nikaja kugundua ni ya chatgtp

Nikacopy na kupaste majibu niliyopewa na AI 🤣🤣🤣
 
Ukiona tu kataja na ile shule ya wasichana uliyosoma chini ya mama kam jua tu ni AI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…