Nitajuaje simu ninayotaka kununua ni ya mkopo?

Nitajuaje simu ninayotaka kununua ni ya mkopo?

Hakuna simu janja ya hali nzuri hata kiwango cha chini ya bei rahisi mkuu! Bila laki 3.5 au 4 hupati simu! Bado simu janja ni ghari kwa watu wa kipato cha chini! Unaweza kukuta ukoo mzima hakuna mtu mwenye simu ya laki 4 😂😂
Inategemeana na matumizi yako.
Kununua simu ya laki 4 kwa ajili ya kupiga, kupokea na kutuma sms hayo ni matumizi mabaya ya laki 4.
 
Back
Top Bottom