Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Apr 27, 2024 #21 Morning_star said: Hakuna simu janja ya hali nzuri hata kiwango cha chini ya bei rahisi mkuu! Bila laki 3.5 au 4 hupati simu! Bado simu janja ni ghari kwa watu wa kipato cha chini! Unaweza kukuta ukoo mzima hakuna mtu mwenye simu ya laki 4 ππ Click to expand... Inategemeana na matumizi yako. Kununua simu ya laki 4 kwa ajili ya kupiga, kupokea na kutuma sms hayo ni matumizi mabaya ya laki 4.
Morning_star said: Hakuna simu janja ya hali nzuri hata kiwango cha chini ya bei rahisi mkuu! Bila laki 3.5 au 4 hupati simu! Bado simu janja ni ghari kwa watu wa kipato cha chini! Unaweza kukuta ukoo mzima hakuna mtu mwenye simu ya laki 4 ππ Click to expand... Inategemeana na matumizi yako. Kununua simu ya laki 4 kwa ajili ya kupiga, kupokea na kutuma sms hayo ni matumizi mabaya ya laki 4.