Nitakinukisha, NItakinukisha, Nitakinukisha, Nitafanya Uasi, No Reforms No Elections, Kiko Wapi?

ni unafiki,
mchoma vitenge wa BAWACHA hawezi kumuombea kaidi mwenye kiburi na mropokaji kama Lisu na maombi yakaskizwa, in fact itakua ni makelele tu gentleman 🐒
Mungu na Wanasiasa... :BoneZone: :BoneZone: :BoneZone:
Wanasiasa na Mungu wao as a Holy mask to bless their greed while robbing the very people they claim to serve.
 
Mtafuteni Prince Bagenda anajua vizuri historia ya vyama vingi hapa nchini, masuala yanayohusu usalama wa nchi hayawezi kugeuzwa kwa namna ya kisiasa halafu watawala wakakaa kimya, Mimi ningeshangaa sana, unapita Kila Wilaya mwenyewe unajiua unapendwa, unachonganisha watu na serikali, Leo umepeleka wanawake mahakamani wakuombee wakati Mungu hasikilizi Wala kupokea maombi ya watu waliokuwa uchi, watu hata kuoga janaba hawajui, Mungu Gani huyo.

Oktoba Tunatikiiiiiiiiiiiiii
Unajua unawatukana watu ambao hawal na ugomvi na wewe kanuni ya Universe huwa haikosei na wala haijawahi kukosea hata siku moja.kile mtu apandacho ndicho avunacho ukipandauu wema utavuna wema
 
Mtafuteni Prince Bagenda anajua vizuri historia ya vyama vingi hapa nchini, masuala yanayohusu usalama wa nchi hayawezi kugeuzwa kwa namna ya kisiasa halafu watawala wakakaa kimya, Mimi ningeshangaa sana, unapita Kila Wilaya mwenyewe unajiua unapendwa, unachonganisha watu na serikali, Leo umepeleka wanawake mahakamani wakuombee wakati Mungu hasikilizi Wala kupokea maombi ya watu waliokuwa uchi, watu hata kuoga janaba hawajui, Mungu Gani huyo.

Oktoba Tunatikiiiiiiiiiiiiii
Bora kusema "No reform No Election" kuliko kukinukisha hapo ndo kuna shida............
 
Sijui kwa nini baba yako asingepiga nyeto tu kuliko kuzaa bumunda by kinyeo cha CCM.
Mkuu

Huyo ni yule anayeanzisha uzi halafu hapo hapo anaweka na bango la tangazo la kuuza vitabu vya ujasusi.

Mwandishi nguli aliyekuwa anaandika vitabu vya kijasusi ambavyo hakuhitaji kila mara kutangaza alikuwa 'Willy Gamba' au Musiba so huyu anayejionesha bayana chuki dhidi ya mtu mwingine.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Kweli Lissu ni institution. Bunge lilijaribu likashindwa, Serikali ilijaribu ikashindwa na naona mahakama inajijititumua ila itashindwa tu.
 
Mtafuteni Prince Bagenda anajua vizuri historia ya vyama vingi hapa nchini, masuala yanayohusu usalama wa nchi hayawezi kugeuzwa kwa namna ya kisiasa halafu watawala wakakaa kimya, Mimi ningeshangaa sana, unapita Kila Wilaya mwenyewe unajiua unapendwa, unachonganisha watu na serikali, Leo umepeleka wanawake mahakamani wakuombee wakati Mungu hasikilizi Wala kupokea maombi ya watu waliokuwa uchi, watu hata kuoga janaba hawajui, Mungu Gani huyo.

Oktoba Tunatikiiiiiiiiiiiiii
Unatiki nini sasa wakati mgombea wa upinzani anakaribia kunyongwa?

Mtu anagombea peke yake unatiki kitu gani? Mimi nadhani wewe ungeendelea tu na Soka ndiyo maisha yako.
 
Nina wasiwasi Kamusi ya Kiswahili itaingizwa neno Kukinukisha litafsiriwe ni kitendo cha uhaini.
 
Deconstruction imeanza kuleta mafanikio. Lengo na kuwa na magereza ni kumfanya mtu ajutie kuwa gerezani. Mwanzoni baada ya kupata uenyekiti wa chama, alitamba kwamba yuko tayari kwenda gerezani tena akiwa wa kwanza. Miezi mitatu tu anatupa taulo

Mara ooohhh haombi huruma ya Mahakama
Screenshot_20250813-180446.jpg
 
Mtafuteni Prince Bagenda anajua vizuri historia ya vyama vingi hapa nchini, masuala yanayohusu usalama wa nchi hayawezi kugeuzwa kwa namna ya kisiasa halafu watawala wakakaa kimya, Mimi ningeshangaa sana, unapita Kila Wilaya mwenyewe unajiua unapendwa, unachonganisha watu na serikali, Leo umepeleka wanawake mahakamani wakuombee wakati Mungu hasikilizi Wala kupokea maombi ya watu waliokuwa uchi, watu hata kuoga janaba hawajui, Mungu Gani huyo.

Oktoba Tunatikiiiiiiiiiiiiii
Tanzania ni mali ya nani ndugu yangu?
 
utakufa usiku huu
 
Ukubwa sio umri na Akili sio ukubwa!Tunahaki ya kuongea vapour!
 
ni unafiki,
mchoma vitenge wa BAWACHA hawezi kumuombea kaidi mwenye kiburi na mropokaji kama Lisu na maombi yakaskizwa, in fact itakua ni makelele tu gentleman 🐒
Mageuzi ni lazima,utake usitake na Tundu Lissu lazima atoke,,utake, usitake hata Mandela alikaa ndani!waoga ndio nyie na mashujaa tupo pia!
 
kwani huyo kibaka na tapeli wa kisiasa ulimungiza wapi hata useme lazima atoke gentleman? 🐒
 
Back
Top Bottom