Arch Barrel
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 577
- 1,314
Babaako ndio wa kulaumiwa, angetumia komdomu leo hii tusingekuwa na huu uchafuMtafuteni Prince Bagenda anajua vizuri historia ya vyama vingi hapa nchini, masuala yanayohusu usalama wa nchi hayawezi kugeuzwa kwa namna ya kisiasa halafu watawala wakakaa kimya, Mimi ningeshangaa sana, unapita Kila Wilaya mwenyewe unajiua unapendwa, unachonganisha watu na serikali, Leo umepeleka wanawake mahakamani wakuombee wakati Mungu hasikilizi Wala kupokea maombi ya watu waliokuwa uchi, watu hata kuoga janaba hawajui, Mungu Gani huyo.
Oktoba Tunatikiiiiiiiiiiiiii