Nitakinukisha, NItakinukisha, Nitakinukisha, Nitafanya Uasi, No Reforms No Elections, Kiko Wapi?

Babaako ndio wa kulaumiwa, angetumia komdomu leo hii tusingekuwa na huu uchafu
 
Kuna Magereza standard bwana!
 
Kiko wapi wakati mnahaha kuomba usaidizi wa Mihimili mingine huku mkipimdisha sheria, kanuni na taratibu.
Kwenye ushawishi wa umma mama yenu hata robo kwa Lissu hana.
 
Tatizo na domoz ni kutokujua his limit
 
Umeandika au umeharisha?
 
Okay, lakini unaijua hatari kubwa iliyopo mbele yetu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…