Nitakosea nikiendelea na huyu Binti? Roho inaniuma sana

Unalimaliza hilo kiume tu. Mweleze Binti ukweli wa mambo lakini mkaushie baba yake kisha mnabaki kama vile hakuna kilichowahi kutokea
 
Wakuu ngoja niende kwenye pointi.

Last week nilipata safari ya kikazi huko mkoani, nipo kwenye Ofisi mpya kidogo kwangu. Sasa kama kawaida nimefika up country siku mbili Tatu nikapata mwenyeji Binti, graduate wa chuo kikuu mwaka jana 2020.
Karibuni [emoji477][emoji477]ya moto iyooo!!!
 
Unaletewa mzigo hotelini huku huwezi kuula, unautizama tu kwa vile unatoa danger!

Nilivyokuwa kijana nilifumba macho, so disgusting!
 
Mkuu labda kama mna namna njema jinsi mnavyoishi kazn na ding yake,

Ila najua tuu kuna siku unaweza kujiliwaza tuu
 
Aisee mwanzo nikajua ni uzi wa wale vijana wanaonunua maumivu kwa kugharamia madem afu wanaachwa kupumbavu kumbe hii yako ni technical issue aisee.

Mi nakushauri temana na huyo manzi mkuu. Raha kugegeda wa wenzio ila akigegedwa wako tena na mtu kama wewe ambae huyo mdosi wako anajua fika tabia zako chafu aisee atachefukwa roho na huo urafiki uww mwisho kama ni snitch si ajabu na ndoa yako itakua matatani.
 
Mkuu, samahani.Kwani kuna ULAZIMA wa wewe kuwa nae kimapenzi ? Yaani Kwamba ni LAZIMA awe mpenzi wako ili hali wanaweke wapo wengi and besides una mke?

Imagine babake anagundua, na bora ungekua single then agundue but you are married and that superviser finds out unamchezea binti yake cuz hamna future hapo.

Think twice, Wewe umia tu lakini muache mtoto wa watu.

Warembo tupo kibao huku jf [emoji23](kidding). Ila muache binti wa watu as mnaheshiamiana sana na babake.
 
Story ya kutunga, inawezekanaje mtu unafanya nae kazi usiwafahamu watoto wake? Yawezekana story ya kweli lakini umeongeza chumvi.
Wakuu ngoja niende kwenye pointi.

Last week nilipata safari ya kikazi huko mkoani, nipo kwenye Ofisi mpya kidogo kwangu. Sasa kama kawaida nimefika up country siku mbili Tatu nikapata mwenyeji Binti, graduate wa chuo kikuu mwaka jana 2020.
 
Story ya kutunga, inawezekanaje mtu unafanya nae kazi usiwafahamu watoto wake? Yawezekana story ya kweli lakini umeongeza chumvi.
Hujasoma vizuri rudia tena then ufute swali lako.
 
Nikipata muda nitatoa mrejesho.
 
We endelea kumpiga miti tu mpaka asanuke mwenyewe.
 
Wakuu ngoja niende kwenye pointi.

Last week nilipata safari ya kikazi huko mkoani, nipo kwenye Ofisi mpya kidogo kwangu. Sasa kama kawaida nimefika up country siku mbili Tatu nikapata mwenyeji Binti, graduate wa chuo kikuu mwaka jana 2020.
Sbb unayo
 
Jaribu kumwambia maana hii itafanya akuheshimu zaidi ,kama kazi anayofanya baba yake ndo unafanya na wewe ana weza kukuona mtu wa wa hadhi ya juu
 
Goli moja kwa laki mbili
 
Nje kabisa ya topic; sio kwa ubaya lakini, nauliza tu; hivi nyie mnao andikaga story za hivi (nina assume kua hi story ni ya kweli ) huaga mna uhakika gani kama na hao watu sio members humu? Huyo msichana na huyu supervisor wako, una uhakika sio members wa humu JF!? If yes, unadhani huaga wanajifikiaje? Binafsi nisingeweza ku share i things like this here, labda mimi ni mbinafsi but for sure, i can't and i couldn't do it aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…