Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Sitafanya hivyo. Jamaa tunaheshimiana sana!! Comment yake kwenye kazi zangu inamaana kubwa sana.
Nachofanya nikumpotezea huyu binti kimapenzi, kama mdau alivyoshauri hapo juu! Nitamweleza kuhusu Baba yake hata hiyo kazi niliyoenda kuifanya hadi nikakutana nae nilipangiwa na Baba yake.
Sawa...
Lakini najiuliza tu hapa, ina maana unaogopa kuharibu kwa boss wako zaidi kuliko kwa mkeo!!
(usijibi)