Nitakosea nikiendelea na huyu Binti? Roho inaniuma sana

Nitakosea nikiendelea na huyu Binti? Roho inaniuma sana

Mtazamo mzuri, kuna haja yakumuelezea kuhusu Baba yake kweli?
Kumuacha for good inawezekana kabisa.
Tena nikiwaza 200k niliyompa nafurahi sana, haijapotea bure.
Baba yake alinisaidia sana kucatch up na kazi.

Mkuu sikia, huyo binti ukiendelea nae utamharibia future wakati tayari wewe umeshayajenga na una mke.

Kwa upande wa pili jaribu kupiga picha ni binti yako anataka kufanyiwa hivyo na mtu unaemfaham. Hapo unaweza kuona huyo Boss wako atakuchukuliaje siku akijua.

Hilo la kumpatia 200k linatosha kuonyesha msaada wako. Ukimaliza mchezo ukaishia hapo itakua jambo la busara.

Unasema hauwezi kukaa wiki moja bila kupata huduma? Mh!
 
Achana na huyo binti, Kwanza umeoa hakuna ulazima huo wa kuwa nae kimahusiano.

Kama hupendi kazi yako mkuu endelea nae...
Utakuja kunishukuru baadae..
Naipenda sana kazi yangu mkuu, nimepanda kitengo hivi majuzi tu hapa na ndio napata pata visafari vya maana sasa!
Hii kazi ni nzuri
 
Duh. Mbona mimi Niko mbali na Wife week ya sita sasa lakini sina mzuka wa kufanya hayo? Mimi nikisafiri mikoani nafurahi sana sana kukaa alone niwapo safarini! Nikijitahidi sana ni Wine ndio anakua rafiki yangu wa kweli
Hongera sana mkuu. Aisee uko vizuri
 
Duh. Mbona mimi Niko mbali na Wife week ya sita sasa lakini sina mzuka wa kufanya hayo? Mimi nikisafiri mikoani nafurahi sana sana kukaa alone niwapo safarini! Nikijitahidi sana ni Wine ndio anakua rafiki yangu wa kweli
Wanajiendekezaga tu kwa hicho kigezo cha kipuuzi[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ikitolewa summary yake mnisanue nije nikomenti
 
Ukweli utakuweka huru. Kwa heshima ya supeevisor end hiyo relationship ilikuwa ajali kazini. Mfahamishe partner juu ya uamuzi huo na sababu ataelewa. Mtaendelea tu kuwa kaka na dada. Kuna leo na kesho.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie kazi yangu ni kutunza pesa tu, mengine Evelyn Salt na Heaven Sent ndio vitengo vyao.

Hao umewataja sijui ndio walezi wenyewe wa chama?

Wakija hapa kwenye huu uzi utashangaa.

Sawa mhasibu.

Ndio mpeni mwenzenu ushauri sasa. Ametoa 200k, kabla apate alichokusudia amegundua baba wa huyo binti ni boss wake.
 
Back
Top Bottom