comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Hii ya kutembea tembea nafanya Sana sasahivi, ila sasa kutembea kumbi za starehe nmejaribu ila sasa ñaona naanza kupenda ulevi na SIO mambo yanguSafiri kidogo ita saidia, badilisha hobbies zako au ziboreshe.
Jaribu evening walk, kutembelea kumbi zenye muziki wa taratibu, kucheza karata au bao.
Itakua shida nin?Duuh hili ni tatizo mkuu... Pole
Una hela nyingi ndiyo shidaNilikua naishi mazingira ambayo niliona kama hayana mambo mengi mazuri, Yani ikawa kama nmeyaishi Kwa Miaka mi3 nikayachoka nikatamani niishi sehemu nyingine yenye mazingira Fulani tofauti.
Nikajenga mahali pengine na hivi nimehamia hapa Nina kama week 3, lakini hapa Napo ñaona kama nmeshapachoka natamani tena nikapate sehemu nyingne yenye mazingira mengine nikajenge tena nikaishi huko, tena sasahivi natamani mkoani SIO dar, shida itakua nin?
Nmekua MTU wa kuhama sijawahi Kukaa kwenye nyumba zaidi ya Miaka mi3, iwe yangu niliyojenga au hata ambazo Miaka hiyo nilivyokua napanga.
Hii Nani ishawahi kumkuta.?
Nilipotoka nimepangisha MTU sijauza, pia tokea nitoke kwenye Maisha ya kupanga sijawahi kurudi hukoUmelogwa ili uwe masikini usiendelee mwisho utaanza kuuza nyumba hapo kuna ka roho ya kupanga nyumba
Za kawaida sanaaUna hela nyingi ndiyo shida
Mimi pia sio mpenzi wa kilevi chochote, wewe nenda pata supu, mishikaki au red bull.Hii ya kutembea tembea nafanya Sana sasahivi, ila sasa kutembea kumbi za starehe nmejaribu ila sasa ñaona naanza kupenda ulevi na SIO mambo yangu
ThibitishaUmelogwa ili uwe masikini usiendelee mwisho utaanza kuuza nyumba hapo kuna ka roho ya kupanga nyumba
Sielewi, maana computer ninayo, simu MDA wote mbs zipo, TV ipoMimi pia sio mpenzi wa kilevi chochote, wewe nenda pata supu, mishikaki au red bull.
NIli tengeneza maktaba ya vitabu nyumbani, nina play station ya game, na external zilizo na filamu au documentary.
Nasikiliza mziki Sana, naweza anza asubui hadi jioni iwe kwa earphone masikioni au kifaa cha mziki hii huni saidia kubadili moody.
weka huduma ya wi-fi nyumbani, vipindi vipo vingi sana vitakavyo kufanya ubadili mtazamo.
NimeaguaThibitisha
No offense ila Wabongo kama nyinyi ni wapumbavu sana, it's just a normal thing kwa kiumbe aliye kamilika.Umelogwa ili uwe masikini usiendelee mwisho utaanza kuuza nyumba hapo kuna ka roho ya kupanga nyumba
Una penda vipindi gani vya television?, mziki, mpira?.Sielewi, maana computer ninayo, simu MDA wote mbs zipo, TV ipo
Inatibika vpNo offense ila Wabongo kama nyinyi ni wapumbavu sana, it's just a normal thing kwa kiumbe aliye kamilika.
ni ka hali kama sonona, ila ina itwa ennui or chronic boredom.
Mpira, movie, wanyamaUna penda vipindi gani vya television?, mziki, mpira?.
basi tazama series hizi, peaky blinders, joy of life (Chinese), zero zero zero.Mpira, movie, wanyama
Wewe ni mtu pekee unae weza kujitibu hilo, mtazamo wako chanya ndio msingi mkuu wa badiliko lako.Inatibika vp
Nitaziangaliabasi tazama series hizi, peaky blinders, joy of life (Chinese), zero zero zero.