comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #21
Sawa sawaWewe ni mtu pekee unae weza kujitibu hilo, mtazamo wako chanya ndio msingi mkuu wa badiliko lako.
How you approach your environment kuanzia uki amka, Hadi uki rudi nyumbani kutoka katika shughuliki zako basi ita kusaidia.
anza siku yako kwa mazoezi, sikikiza nyimbo, kifungua kinywa cha tofauti, sikiliza hata vipindi kama podcast ya msasa by Elisha, salama na.