NItakua na shida gani? Naboreka Sana na mazingira nnayoishi kila nikihamia

Sawa sawa
 
Nyayo zako zlichotwa zkatupwa mtoni muda wote unakua unatembea kama hayo maji
 
ADHD (Attention Deficit Hyperactivity Disorder)
Kwa kifupi kabsa kitaalamu;
Hali hiyo inaweza kuitwa restlessness, wanderlust, au kuwa sehemu ya tatizo kama adjustment disorder au ADHD, kutegemea mazingira ya mtu binafsi.

Kama inakusumbua onana na wataalamu wa psychology watakusaidia.
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…