[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kama wauza sumuKama wauza sumu
Unayo mkuu huyo songimba ile nyimbo ya nikki mbishi.
Lete uchochezi na matusi juuNifanyeje ili nipate ban
Si vzr mkuuTupiamo na huku PM kwangu alafu agiza mbili baridi nalipa kwa mobile money
Mungu wangu,huu ni upendo mkubwa! Sijui nikuambie nini ili kuielezea furaha niliyonayo.Naona Niffah kawa banned. To be honest nitammis sana humu ndani. Napenda sana michango yake kwenye mada kadha wa kadha. Pole sana NiffahView attachment 470912
Thank you M.N [emoji8] [emoji8]free niffah
Naam,nimerudi mkuu [emoji4]Nifah nifah
Hata hivyo nimejitahidi sana,nimekwepa mishale mingi lasivyo ningekuwa nachezea ban kila wiki.Kwa maudhi ya serikali hii na member wengine humu JF kula ban itakuwa kitu cha kawaida