Nitakumis sana Niffah

Nitakumis sana Niffah

Nifah sitakusahau siku umenitumia picha zako PM kweli watu nimeamini ni wanafiki na wajinga hawapendi maendeleo ya mwenzao
 
Naona Niffah kawa banned. To be honest nitammis sana humu ndani. Napenda sana michango yake kwenye mada kadha wa kadha. Pole sana NiffahView attachment 470912
Mungu wangu,huu ni upendo mkubwa! Sijui nikuambie nini ili kuielezea furaha niliyonayo.
Nashukuru sana mkuu,umeingia ktk kitabu changu cha kumbukumbu.
Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom