fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Nitakuwa jijini dar kwa wiki 2 ,kuanzia disemba 1, kwa safari ya kibinafsi,ambae ni mwanachama wa jf na angependa tukutane ntafurahi sana.
Wasalaam
Fimboyaukwaju
Wasalaam
Fimboyaukwaju
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mie najulikana na jina langu ni fimboyaukwajuWatasema wewe ni wale wasiojulikana.
Ndio hiyo ni tarehe yangu ya kufika darPia December 1 ni siku ya Ukimwi duniani
Watu wa dar mnaringa kama hakuna wanaoshinda na miguu ya kuku vile😅😅😅😅😅Yaani utoke mikoani huko na vumbi lako alafu sisi tunaokaa ufukweni tukutafute kweli? Watu wa shamba mnasumbua sana
Duh kuishi mwanza ni ushamba! Pia sio lazima ni kwa wale ambao watapenda,ambae hapendi kama wewe ambae umeerevuka,endelea tu na ustaarabu wakoYaani utoke mikoani huko na vumbi lako alafu sisi tunaokaa ufukweni tukutafute kweli? Watu wa shamba mnasumbua sana
Ukitoa bangi,mihadarati,sigara na shisha vilivyobaki natumiaUsijari mkuu wacha tupoteze mawazo kidogo, vipi unapiga gambe isijekua tunakutana mark juice, sijui juice point gani hamnaga madini huko..
Ikiwezekana twende mishangazi pub ili niambatane na ndgu yangu Poor Brain
Yani toka nasoma heading nikawa nahisi tu huyu sio Swaga Don kweli. Hapa nimethibitisha.Duh kuishi mwanza ni ushamba! Pia sio lazima ni kwa wale ambao watapenda,ambae hapendi kama wewe ambae umeerevuka,endelea tu na ustaarabu wako
Swaga don? no sio mimiYani toka nasoma heading nikawa nahisi tu huyu sio Swaga Don kweli. Hapa nimethibitisha.
Mkuu naombeni hilo tag aiseeee.Usijari mkuu wacha tupoteze mawazo kidogo, vipi unapiga gambe isijekua tunakutana mark juice, sijui juice point gani hamnaga madini huko..
Ikiwezekana twende mishangazi pub ili niambatane na ndgu yangu Poor Brain
Usijari mkuu jamaa katualika mwenyeweMkuu naombeni hilo tag aiseeee.
😂😂😂😂😂😂😂
Siku ukija huku chalangwa usisahau kunitagNitakuwa jijini dar kwa wiki 2 ,kuanzia disemba 1, kwa safari ya kibinafsi,ambae ni mwanachama wa jf na angependa tukutane ntafurahi sana.
Wasalaam
Fimboyaukwaju