Nitakuwa Dar kuanzia Desemba 1

Duh kuishi mwanza ni ushamba! Pia sio lazima ni kwa wale ambao watapenda,ambae hapendi kama wewe ambae umeerevuka,endelea tu na ustaarabu wako
Yani toka nasoma heading nikawa nahisi tu huyu sio Swaga Don kweli. Hapa nimethibitisha.
 
Andikaa hapo huyu anatakiwa atapelewii km wenginee wakujaaa
 
Dahhhh....
Umenikumbusha mbali sana mkuu...🀣
Nyuzi za hivi tulikua tunaziandika 10 yrs back, na kweli tulikua tunaonana na wings za mikoa husika...πŸ˜‹
But kwasasa trust imepungua sana Jf, upendo umepungua, matapeli wametamalaki, waongo wameongezeka, watoto wamekua wengi na mnatutangaza sana....🀨
 
Nitakuwa jijini dar kwa wiki 2 ,kuanzia disemba 1, kwa safari ya kibinafsi,ambae ni mwanachama wa jf na angependa tukutane ntafurahi sana.
Wasalaam
Fimboyaukwaju
Siku ukija huku chalangwa usisahau kunitag
Wasalimie vijana wa daslam wape na pole pia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…