Nitakuwa Dar kuanzia Desemba 1

Nitakuwa jijini dar kwa wiki 2 ,kuanzia disemba 1, kwa safari ya kibinafsi,ambae ni mwanachama wa jf na angependa tukutane ntafurahi sana.
Wasalaam
Fimboyaukwaju
Mkuu we taja sehemu utakayofikia tu maana najua mishangazi ya dar ambayo haijapata kufikishwa kileleni yangu kizaliwa kwao itakuja tu ili ipate kuonja utamu wa fimboyaukwaju.

Mishangazi inakusubiri kwa hamu na gamu.
 
ok sikujua kama hali ni hiyo wala nisingeandika huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…