GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote.
Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote Muhimu ambazo hata akina GENTAMYCINE hatutakiwi kuzijua au hata tu kuzihisi? Hivi tunajua kuwa Kitendo cha kufuta Kazi Watendaji wote wa Taasisi hiyo ni Kulivalisha BOMU la HATARI kabisa Taifa letu?
Ningeambiwa kuwa Taasisi imeamua Kufuta Kazi baadhi ya Watendaji wake kutokana na Uzembe au Ufanisi Haba wa Kiutendaji ningekubali na pia hata kuunga mkono kwani hata Mimi mara kadhaa hapa hapa JamiiForums nimeshasema kuwa Taasisi inahitaji madadiliko makubwa.
Tena kwa Mataifa makubwa yanayojua nini maana ya hiyo Taasisi kama ya Urusi, Israeli, Uingereza na Ufaransa yao yakifikia tu huu Uamuzi huwa hawaishii tu Kuwaondoa Kazini ( Taasisini ) bali huhakikisha pia wanapiga Sindano za Sumu ili kila baada ya muda Mmoja Mmoja anakufa.
Na kama hii Taarifa ni Kweli basi ninajua hivi sasa Ndugu yangu 'Sinenepi ila nina Akili Nyingi' hapo jirani kafurahi. Na pia kama hii Taarifa ni ya kweli basi nina uhakika kuwa kuna Mtanzania Mmoja si tu Katuchoka bali pia Katuchukia sana na sasa anataka kutuingiza Matatizoni ili akaishi zake Uarabuni.