Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Aunty Ezekiel hajatengeneza shepu yake

Kwa sisi wengine hizo BBL tushazizoea zimekuwa za kawaida sana!

Kwa tuliofika DR, Medellin, Cali [curves] na kwingineko, hakuna kilicho cha ajabu tena.

Labda kilicho cha ajabu ni kukutana na asiye na BBL, lip fillers, nyonyo za kununua, vaginal tightening, n.k,.

Unaweza kutana na mdada ana watoto watatu. Katoto kamwisho ni kachanga kabisa [Summer Walker], lakini tumbo flat kabisa, nyonyo zimesimama na hazina dalili yoyote kama zinanyonywa na mtoto!

That’s the new normal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…