Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Aunty Ezekiel hajatengeneza shepu yake

Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Aunty Ezekiel hajatengeneza shepu yake

Wa kawaida tuu.sema ukisha kua unashika shika visemt unakua mzuri.
Halaf huyu manzi ni mfupi sana tofauti na anvyoonekana kwenye picha .
sio mrefu sana Ila sio mfupi pia. Nancy huwa namuona kama black beauty flani mwenye perfect face. Moja ya mastar wenye macho na lips nzuri sana na siku hizi age imeanza kwenda Ila bado mrembo
IMG_20231102_142204.jpg
 
Huwoni mawimbi?
Muonekano wa sasa wa Aunty Ezekiel umetushtua watu wengi sana

Japo Aunty alikuwa na kishepu fulani hivi tangu hapo awali ila kwa sasa mmmmmmmmmmh surgery imehusika hapa tusidanganyanee 😂😂😂😂😂😂

Aunty Kawa na mshepu wa haja ghafla na kuonesha msisistizo katuonesha liiiive ili tusije tukasema ni kigodoro.

Ila yote kwa yote muonekano huu umempendeza sana, hongera yake.

View attachment 2800026
?
 
Nimemuona leo kwny tuzo za Monalisa..kweli amekua na kishepu kizuri amepungua vzr hadi raha...
 
Ila Og ni Og tu bana, hivi vya kutengeneza wala haviwi vizuri.....wachache sana wanapatia wengine mawowo yanakaa kama box
 
Back
Top Bottom