Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Aunty Ezekiel hajatengeneza shepu yake

Wa kawaida tuu.sema ukisha kua unashika shika visemt unakua mzuri.
Halaf huyu manzi ni mfupi sana tofauti na anvyoonekana kwenye picha .
sio mrefu sana Ila sio mfupi pia. Nancy huwa namuona kama black beauty flani mwenye perfect face. Moja ya mastar wenye macho na lips nzuri sana na siku hizi age imeanza kwenda Ila bado mrembo
 
Huwoni mawimbi?
?
 
Nimemuona leo kwny tuzo za Monalisa..kweli amekua na kishepu kizuri amepungua vzr hadi raha...
 
Ila Og ni Og tu bana, hivi vya kutengeneza wala haviwi vizuri.....wachache sana wanapatia wengine mawowo yanakaa kama box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…