Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kwanza atumbuliwe Kwa lipi? Kwa kuwa mfanyabishara amesema TRA wanapata kiburi kutoka kwake?Huyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo.
Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa Fedha kama kikwazo katika biashara zao.
Wafanyabiashara wakaenda mbali sana na kudai waziri huyo ni jeuri sana na ana dharau za kutosha.
Sasa turudi upande wa pili wa shilingi, Mwigulu ametikiswa na Serikali imetikisika. Wananchi wanasubiria kama atatumbuliwa na Rais Samia.
Tupunguze matarajio hayo, sidhani kama Mwigulu ataondolewa hapo, kwakuwa yupo hapo kwa kazi maalum hivyo ni ngumu kumuondoa, kama unabisha muda ni mwalimu mzuri utatuambia.
SSH amtoe kwani yeye ndiye alimteua?Huyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo.
Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa Fedha kama kikwazo katika biashara zao.
Wafanyabiashara wakaenda mbali sana na kudai waziri huyo ni jeuri sana na ana dharau za kutosha.
Sasa turudi upande wa pili wa shilingi, Mwigulu ametikiswa na Serikali imetikisika. Wananchi wanasubiria kama atatumbuliwa na Rais Samia.
Tupunguze matarajio hayo, sidhani kama Mwigulu ataondolewa hapo, kwakuwa yupo hapo kwa kazi maalum hivyo ni ngumu kumuondoa, kama unabisha muda ni mwalimu mzuri utatuambia.
Mwigulu ni annointed!Huyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo.
Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa Fedha kama kikwazo katika biashara zao.
Wafanyabiashara wakaenda mbali sana na kudai waziri huyo ni jeuri sana na ana dharau za kutosha.
Sasa turudi upande wa pili wa shilingi, Mwigulu ametikiswa na Serikali imetikisika. Wananchi wanasubiria kama atatumbuliwa na Rais Samia.
Tupunguze matarajio hayo, sidhani kama Mwigulu ataondolewa hapo, kwakuwa yupo hapo kwa kazi maalum hivyo ni ngumu kumuondoa, kama unabisha muda ni mwalimu mzuri utatuambia.
Eti hamieni Burundi, hiki kiburi anatoa wapi?! Hadi kuita wenzake waganga wa kienyeji, yeye ndio anajuaHuyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo.
Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa Fedha kama kikwazo katika biashara zao.
Wafanyabiashara wakaenda mbali sana na kudai waziri huyo ni jeuri sana na ana dharau za kutosha.
Sasa turudi upande wa pili wa shilingi, Mwigulu ametikiswa na Serikali imetikisika. Wananchi wanasubiria kama atatumbuliwa na Rais Samia.
Tupunguze matarajio hayo, sidhani kama Mwigulu ataondolewa hapo, kwakuwa yupo hapo kwa kazi maalum hivyo ni ngumu kumuondoa, kama unabisha muda ni mwalimu mzuri utatuambia.
Wapo wengi sana. Amelaaniwa amtegemeaye binadamu.Mwigulu, Nape na January ndio injini pekee za Samia za kupambana na Tundu Lissu.
Kwa dharau na majivuno mawaziri wote wa fedha huwa hivyo.
Ila pia kukusanya kodi sio lelemama ukicheka na nyani utavuna mabua.
Yote kwa yote CCM ishaishiwa watu amtoe Mwigulu katika kundi la fisi atampata nani mwenye angalau?
Ukizungumzia Mwigulu unazungumzia Msoga line, ukizungumzia Msoga unazungumzia PembaHuyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo.
Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa Fedha kama kikwazo katika biashara zao.
Wafanyabiashara wakaenda mbali sana na kudai waziri huyo ni jeuri sana na ana dharau za kutosha.
Sasa turudi upande wa pili wa shilingi, Mwigulu ametikiswa na Serikali imetikisika. Wananchi wanasubiria kama atatumbuliwa na Rais Samia.
Tupunguze matarajio hayo, sidhani kama Mwigulu ataondolewa hapo, kwakuwa yupo hapo kwa kazi maalum hivyo ni ngumu kumuondoa, kama unabisha muda ni mwalimu mzuri utatuambia.
Mwigulu hana kosa lolote kwa suala la kariakooHuyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo.
Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa Fedha kama kikwazo katika biashara zao.
Wafanyabiashara wakaenda mbali sana na kudai waziri huyo ni jeuri sana na ana dharau za kutosha.
Sasa turudi upande wa pili wa shilingi, Mwigulu ametikiswa na Serikali imetikisika. Wananchi wanasubiria kama atatumbuliwa na Rais Samia.
Tupunguze matarajio hayo, sidhani kama Mwigulu ataondolewa hapo, kwakuwa yupo hapo kwa kazi maalum hivyo ni ngumu kumuondoa, kama unabisha muda ni mwalimu mzuri utatuambia.
Kwann asiwe na kosa wakati yeye ndio waziri.?Mwigulu hana kosa lolote kwa suala la kariakoo
Anahujumiwa!Mwigulu ni annointed!
Mwalimu wangu wa sekondari aliwahi kuniambia ukiona kobe juu ya mti jua kawekwaEti hamieni Burundi, hiki kiburi anatoa wapi?! Hadi kuita wenzake waganga wa kienyeji, yeye ndio anajua
Itatubidi tugome tena hadi huyu madelu aondolewe,hakuna namna.Huyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo.
Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa Fedha kama kikwazo katika biashara zao.
Wafanyabiashara wakaenda mbali sana na kudai waziri huyo ni jeuri sana na ana dharau za kutosha.
Sasa turudi upande wa pili wa shilingi, Mwigulu ametikiswa na Serikali imetikisika. Wananchi wanasubiria kama atatumbuliwa na Rais Samia.
Tupunguze matarajio hayo, sidhani kama Mwigulu ataondolewa hapo, kwakuwa yupo hapo kwa kazi maalum hivyo ni ngumu kumuondoa, kama unabisha muda ni mwalimu mzuri utatuambia.
ataondoka kwa aibu ya Rais