Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Mwigulu atatumbuliwa

Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Mwigulu atatumbuliwa

Kikubwa ni TRA Tanzania idhibiti ukwepaji kodi hususani kwa wafanyabishara wakubwa na pia idhibiti vitendo vya rushwa kwa watumishi wake.

Zaidi ya hapo faini ziwekwe zinazoendana na makosa. Serikali haipo kwa ajili ya kukomesha watu.

Kodi ndio maendeleo ya nchi, tusidanganyane. Lazima kila mtu alipe vile inavyotakiwa kwa mujibu wa sheria.
 
Back
Top Bottom