Mzalendo Uchwara JF-Expert Member Joined Jan 26, 2020 Posts 4,437 Reaction score 13,836 May 18, 2023 #21 Kikubwa ni TRA Tanzania idhibiti ukwepaji kodi hususani kwa wafanyabishara wakubwa na pia idhibiti vitendo vya rushwa kwa watumishi wake. Zaidi ya hapo faini ziwekwe zinazoendana na makosa. Serikali haipo kwa ajili ya kukomesha watu. Kodi ndio maendeleo ya nchi, tusidanganyane. Lazima kila mtu alipe vile inavyotakiwa kwa mujibu wa sheria.
Kikubwa ni TRA Tanzania idhibiti ukwepaji kodi hususani kwa wafanyabishara wakubwa na pia idhibiti vitendo vya rushwa kwa watumishi wake. Zaidi ya hapo faini ziwekwe zinazoendana na makosa. Serikali haipo kwa ajili ya kukomesha watu. Kodi ndio maendeleo ya nchi, tusidanganyane. Lazima kila mtu alipe vile inavyotakiwa kwa mujibu wa sheria.